Ally Kiba aelezea collabo yake na Ne-yo iliyoandaliwa na Coke Studio

By    
Ne-yo ni msanii ambae atakuwepo katika Coke Studio mwaka huu, ambapo Ally Kiba ni mmoja ya wasanii waliochaguliwa na Coke Studio kufanya Collabo na  Ne-yo na Kuperform jukwaa moja.
11887282_133832143624054_289794031_n(2)
Katika kipindi cha Friday Night Live (FNL) ya EATV Ally Kiba amesema “Hii collabo ipo, ni kwa ajili ya Coke Studio lakini tunafanya recording kabisa ya nyimbo na tutachukua na video kwaajili ya kuperfome Coke Studio, itaweza kupigwa kwenye redio na TV station“.