Poleni marafiki mlio sikitishwa na tukiwa langu la kupokonywa mtoto-
nimeona mnahitaji kujua ili muache masikitiko na tufurahie wakati
uliopo- ni Kweli baba yake alishinda KESI lkn sheria hairuhusu nazani
alitumia rushwa au labda cheo chake maana haijulikani alishindaje - any
way nataka tu mjue mtoto wangu ninae na mimi si mwanamke regerege wa
kupokonywa haki zangu za kumlea mwanangu
! Nimekwenda kwenye vyombo vya sheria na vinafanya kazi na.
Niwahikikishie tu ntashinda kwa kuwa nina haki na ni mama bora-
nitasimama mpaka kieleweke bila kujali cheo wala pesa - sheria zimewekwa
na haki zinatendeka- mpaka sasa niko vizuri tu- niko na sasha na
ntaendelea kuwa nae mpaka umri utakapo ruhusu lkn si leo wala kesho hayo
ya mbele mungu ndio anayajua.....na niwaambie tu wale watoa hukumu wa
humu ndani- KATIKA SHERIA YA TANZANIA NA DUNIANI HAKUNA KIPENGELE
KINACHO MFANYA MAMA APOKONYWE MTOTO KUPITIA MAVAZI- KUNA VITU VYA
KUZINGATIA VYA MUHIMU LKN SI MAVAZI!
Source: Joyce Kiria (Facebook)