WIZKID NA GIRLFRIEND WAKE KABLA YA KUWA STAR BOY

By    
1-wizzy
Bi Mdada anaitwa Sophie Rahman. Inasemekana ndiye girlfriend wa kwanza wa Wizkid kutokana na chanzo kimoja kutoka Nigeria. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mziki mzuri kutoka Nigeria basi utakumbuka huyu dada ashaonekana kwenye video ya wimbo gani. "Holla at your boy" ndio video ya kwanza ya Wizkid ambayo ilifanya vizuri sana. Ndani ya video hii kuna mdada ambaye wizkid alikuwa anamzimia kitu kilichofanya rafiki yake amkaushie na hata class tisha akamzingua kwani alikuwa anamtaka Wiz. Basi yule dada ndio huyo aliyehaso na Wiz tangu mwanzo kabisa wa sanaa yake kwenye shida na raha.
Kwa sasa Wizkid hayupo tena na mdada huyo kwa kile kinachodaiwa kuwa Wiz alimuacha mdada huyo Half Cast baada ya kuwa star na kufahamika kila kona ya mtaa na nje ya nchi yake. kama ilivyokawaida binadamu huwa ni wagumu kukumbuka kitovu cha mafanikio yake.

2-wizzy
3-wizzy
blogger-image-1686884238   SOO