DIAMOND PLATNUMZ NA VANESA MDEE NDANI YA MTV AFRICA AWARDS

By    

Siku ya leo msanii Diamond na Fella wamepost kupitia akaunti zao za kijamii kuusiana na ujio wa video hiyo mpya kutoka kwa Yamoto Band. Alicoandika Diamod "Wadau kuanzia jumatatu hii inshaallah tutakuwa tunashoot Video ya kwanza ya Vijana wetu @Yamoto_Band Mjini Joburg / South Africa chini @i_am_godfather ... nia na Madhumuni ni kuona jinsi gani tunaweza kutengeneza njia nyingine kupitia @Yamoto_band Kupenyeza mziki wetu Africa... Tafadhali naomba mtuombee na kutusmamaia hili lengo hili Nilitimize 
🙏""