Taarifa hii inakuja baada ya Davido miezi kadhaa iliyopita kudai kuwa anatafuta mjengo wa kuishi huko Marekani. Chanzo kimoja kinadai kuwa Davido alizungumzia suala la uhitaji wa nyumba mwezi Machi.

Msanii huyo anayekimbiza katika miondoko ya Pop kutoka Nigeria mwenye umri mdogo (22) lakini pesa nyingi ameonesha jeuri hiyo ya kumiliki mjengo huo kwa baadhi ya picha alizozitupia mtandandaoni hivi karibuni.





Hizo ni baadhi ya picha zinazoonyesha mjengo huo.
