XO YA JOH MAKINI FT G NAKO KUINGIA KWENYE TUZO ZA WATU KAMA VIDEO INAYOPENDWA ZAIDI NA WATU

By    


Baada ya wimbo wa Joh Makini wa XO kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya radio na Tv sasa ajipatia bahati ya kuingia katika tuzo za watu mwaka 2015.
Jinsi ya kumpigia kura rapa Joh Makini ili aweze kushinda tuzo hiyo fuata maelekezo yaliyopo kwenye picha hiyo hapo juu.