IZZO BUSINESS FT SHAA - KIDAWA (AUDIO AND VIDEO)

By    
kidawa izzo b
Nyota wa muziki wa rap nchini Tanzania, Izzo Bizness ameachia audio ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Kidawa’ aliomshirikisha mwanadada Sarah Kaisi ‘Shaa’ uliofanyika ndani ya studio za Uprise Music chini ya mtayarishaji mahiri nchini Duppy na kufanyiwa mastering na Master J wa MJ Records. Usikilize hapa……