DIAMOND PLATNUMZ ATOA SHUKRANI KWA MH. BENARD MEMBE NA WENGINE KWA KIPINDI KIGUMU ALICHOPITIA

By    
Msanii anayetikisa kwa mziki mzuri na tuzo nyingi zaidi nchini Tanzania kutoka WCB atoa shukrani zake kwa watu kibao akiwemo Mh. Waziri Membe kupitia akaunti ya facebook. Huu ndio ulikuwa ujumbe wake mfupi wenye maneno mazito kwa watu hao.

Eeh Mwenyez Mungu Nakushkuru sana kwa kuweza kunipa ujasili na Moyo wa kuyavumilia yote niliyo yapitia... Asante sana Mh Benard Membe, Joseph Kusaga, Haroun na Kampuni Nzima ya Spice, Mh . Nchimbi, Dk Dossaj , Uongozi wangu, jamaa na Marafiki, Mashabiki zangu pamoja na Familia yangu pendwa kwa kuwa nami bega kwa bega katika kipindi chote cha Miezi hii Miwili Migumu kwangu....Nawashkuru sana

TIMU NZIMA YA SIKILIZA MDUNDO BLOG INAPENDA KUKUPA POLE SANA PLATNUMZ KWA MAGUMU ULIYOYAPITIA NA HASA KUUGULIWA  KWA MAMA YETU MPENDWA, MUNGU AKUPE WEPESI.