AISHA MADINDA AFARIKI: Aliyekuwa mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde jijini Dar. Asha Baraka amethibitisha.
![]() |
| Aisha enzi za uhai wake |
![]() |
| Alipokuwa akitambulishwa Etra Bongo |
![]() |
| Akifanya yake jukwaani |


