PROFESSOR JAY KUACHIA VIDEO MBILI KWA MPIGO (KIPI SIJASIKIA NA 3 CHAFU) JUMAMOSI HII NDANI YA TEN LOUNGE

By    
Ni usiku wa Mwanalizombe mmoja kati ya wanamuziki waongwe kabizsa wa mziki wa Bongo kufanya yake kwa kufanya  kufuru hiyo ya kuachia video 2 za ngoma zake ambazo tayari zinafanya vizuri katika vituo mbalimbali vya radio ndani na nje ya nchi.
Hii si ya kukosa kwani kutakuwa na masapraizi kibao jumamosi hii.
Mlangoni ni uchakavu wa pesa halali ya kitanzania shilingi 10000/=