HAUPASWI KUIKOSA HII KUTOKA KWA MAC MAx, THE PUBLIC FIGURE, YUPO MISS IRINGA NA BAADAE GENTLE HILL USIKU HUU.

By    
Ni kutoka kwa Mac the public figure from Iringa town akiwakilisha kundi zima kutoka Sampamba Music atakuwa kwenye Miss Iringa akitoa burudani na wasanii kibao ambao wapo mkoani hapa kwa ajili ya Kili Music tour 2014 itakayofanyika kesho viwanja vya Samora mjini Iringa. Pia ataelekea Gentle Hill kuiweka ijumaa yako kuwa yenye furaha na kuikaribisha Kili Music Tour hapo kesho