18+ RIHANA AAMUA KUCHEZA AKIWA NA KINGUO CHA UTUPU KUWAPA UTAMU MASHABIKI WAKE

By    
Ukisikia kula ujana basi mwanadada Rihanna kafunika kwani kwa staili hii kuna chaziada katumia. Maamuzi hayo kwa hali ya kawaida wengi wamechua kuanikulia kuwa kuna kutu cha ziada ambacho mwanadada huyo alitumia na kumfanya akose aibu ya kuanika sehemu zake za ndani wazi.
Baadhi wamedai hawashangazwi na alichokifanya Rir kwani ni mtu mwenye asili ya Kijamaika ambako mambo ya dancehall ndiko yalikolala so ni kawaida tu.
Cheki mwenyewe alichokifanya na utupie komenti yako kama niuungwana kufanaya kitu kama kile hadharani.