Siku ya jana imekuwa ni sku ambayo prodyuza mkali aliyefanya nyimbo kali za wasanii wa bongo na hasa msanii Belle 9 kutoka mji kasoro bahari amekuwa akilia na tabia za wasanii wanazozifanya katika studio zao. Triss amefanya nyimbo nyingi sana na kali ambazo ndizo zilizomleta msanii Belle 9 na kutanbulika kwa watanzania na hata nje ya nchi, kama WANITAKA, MASOGANGE, n.k
Hiki ndicho alichokipost Triss kupitia ukurasa wake wa Facebook, jionee mwenyewe hapa