MWANAMUZIKI MKONGWE NCHINI TANZANIA NA DUNIA KWA UJUMLA MZEE MUHIDIN MAALIMU GURUMO AFARIKI DUNIA

By    
Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi nchini na afrika mashariki Gurumo afariki dunia. Chanzo kimoja kimetujuza kuwa mzee Gurumo amefariki mida ya saa nane mchana. 


Mzee Gulumo ashawahi kuwa mwanamuziki katika bendi kama Nuta jazz,Juwata,Ottu,Sikinde na OSS
.