NEW VIDEO: SHILOLE - CHUNA BUZI

By    
Ni video nyingine kutoka kwa Shishi Baby baada ya ile ya Nakomaa na jiji, huku zote mbili zikiwa zimesimamiwa na mtu mzima Nisha ambaye anafanya vizuri sana kwa sasa hapa Bongo katika upande wa utengenezaji wa video na kuwa changamoto sana kwa waandaaji wengine wa viddeeo kama akina Adam Juma, Nick Dizo wa Emedia n.k. Shuka nayo hapo chini uone kitu ilivo kali.