NEW AUDIO RELEASE: ISACK FT HAMIS K - NAMTAFUTA

By    


Ni track mpya kutoka kwa C.E.O wa Icon Record Tz, Isack Haule akiwa amemshirikisha mkali Hamis K inayokweenda kwa jina la NAMTAFUTA. Ngoma hiyo imepikwa na prodyuza JOZEE anayekuja kwa kasi katika music production za bongo. Ngoma inazungumzia mapenzi.
Isikilize na kuidownload hapa...