Download na Sikiliza Nyimbo Mpya ya R.O.M.A ft NICOLAZO- KKK

By    
KKK
Huu ni wimbo wa Roma ambao Teaser yake ilianza kuonekana wiki iliyopita kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii,jina la wimbo unaitwa KKK umefanyika Tongwe Records,kashirikishwa msanii mchanga kabisa kwenye muziki anaitwa Nicolazo ambaye kiasili anatokea Mtwara.
Bonyeza play kusikiliza.