DIAMOND PLATINUMZ ATUA LAGOS NIGERIA KWA AJILI YA KUFANYA MUSIC NA WASANII WA NCHINI HAPO

By    
Hii ni moja ya picha ambayo Platnum aliipost leo mchana ikimuonyesa akiwa katika interview na one of the radio stations ya huko Lagos, Beat 99.9 FM