LUPITA NYONG'O NA CATE BLANCHETT KUTOKELEZEA KWENYE COVER PHOTO YA GAZETI LA ENTERTAINMENT WEEKLY

By    
Ni msichana ambaye amepata jina kubwa sana baada ya kushinda tuzo kubwa za kimataifa za EEBAFTA za nchini marekani kupitia filamu aliyoiigiza ya "12 Years a slave". Tuzi hizo zimekuwa kama njia kubwa itakayomfungulia milango mingi sana ya mafanikio mwanadada huyo ya kufanya kazi zaidi ya pale alipo na mojawapo ni kama hii ya kulipamba kava foto ya Entertainment Weekly magazine.