GOSBY-BABY MAKING SWAGGZ- BMS (OFFICIAL VIDEO)

By    
Ni bonge moja la ngoma kutoka kwa Gosby jamaa ambaye anaswaggz za hatari sana dizaini ka anafanya mziki wa level tofauti sana na wasanii wengine wa bongo wanaofanya mziki kama huo, cheki jiwe zima ndo lishadondoka hilo meiya