BRAND NEW TRACK: SHETTA FT DIAMOND PLATNUMZ - KELEWA

By    

Nyimbo mpya ya Shetta a. k a Baba Kayla akiwa amemshirikisha Diamond Platinumz, jina la wimbo ni Kerewa. Kama unakumbuka jamaa washawahi fanyaga joint moja kali sana ya NIDANGANYE iliyofanya vizuri sana katika siku zilizopita. Basi this is also a brand new track from Shetta - OK, fanya kuusikiliza.