THE BEST OF RAMA DEE IS COMING SOON, GET READY FOR IT

By    

The Best of Rama Dee itapatikana kupitia Itune soon....hii inatokana na Watanzania ambao wanaishi ndani na nje ya Nchi kutuma maombi mengi sinabudi kuyafanyia kazi, Nyibo zitakuwa 14 zote kali ambazo sio kali sijaziweka Asanteni....