Fc Buyern won against Chelsea football club kwa mikwaju ya penati wakipata yote mitano huku Chelsea wakikosa penati ya mwisho aliyoipiga Romelu Lukaku's iliyodakwa na Manuel Neuer na kulikosa kombe hilo. Hatua hiyo ya matuta ilifikia baada ya Chelsea kushindwa kuidhibiti Buyern na kusababisha wababe hao kuwanyang'anya tonge mdomoni dakika ya mwisho ya nyongeza.
Congratulations Buyern.
Magoli ya Buyern yalifungwa na FRANCK RIBÉRY- 47' na JAVI MARTÍNEZ- 120'
Magoli ya Buyern yalifungwa na FRANCK RIBÉRY- 47' na JAVI MARTÍNEZ- 120'