Bright ni kijana ambaye anafanya izuri kunako gemu la bongo fleva ingawaje anangoma chache katika media. Kama unakumbuka ashawahi kutamba na ngoma moja aliyoimba na Bele nine from city without ocean iliyokwenda kwa jina la NIMEMWONA. Sasa aja kidizaini nyingine na LONELY, Waweza kuipakua ngoma hiyo hapo chini na kuona jinsi kijana alivyo nakipaji.