Social Icons

.Facebook Twitter LinkedIn Google+

Jul 31, 2013

KWA WALIO OMBA AJIRA KUTOKA UTUMISHI HAYA NDIYO MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAHILI NA UTUMISHI 24th JULY 2013

WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI MIKOANI

 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatangazia waombaji wa fursa za ajira kwa tangazo lililotolewa tarehe 26/03/2013 kuwa wamechaguliwa kufanya usaili, hivyo waendelee kujiandaa. Usaili huo utahusisha kada zifuatazo;
Mtendaji wa kijiji III,Mtendaji wa Mtaa III, Afisa Usajili Msaidizi, Mvuvi Msaidizi, Fundisanifu Msaidizi Maji, Fundisanifu II bomba, Polisi msaidizi, Fundisanifu Msaidizi Umeme, Katibu Mahsusi III, Fundisanifu II Uchapaji Ramani, Fundisanifu Msaidizi Bomba, Msaidizi Wa Ofisi, Msaidizi Misitu II, Fundisanifu II Ramani, Fundisanifu II Maendeleo ya jamii, Opareta Wa Kompyuta Msaidizi, Mtendaji wa Kata III, Fundisanifu II Ufundi Na Umeme, Dereva II, Dereva Wa Mitambo II, Afisa Biashara Msaidizi II, Mpigachapa Msaidizi, Fundisanifu Maabara II, Afisa Mtendaji wa Kijiji II na Mlinzi.


 
 

WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI DAR ES SALAAM

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatangazia waombaji wa fursa za ajira kwa tangazo lililotolewa tarehe 26/03/2013 kuwa wamechaguliwa kufanya usaili, hivyo waendelee kujiandaa. Usaili huo utahusisha kada.zifuatazo;
Mtakwimu II, Afisa Misitu Daraja La II , Mhandisi Daraja La II – Maji, Mhandisi Daraja La II - Ujenzi , Afisa Wa Sheria Daraja La II , Afisa Ufugaji Nyuki Daraja II , Mkadiriaji Ujenzi Daraja La II , Mhandisi Daraja La II-Nishati, Fundisanifu Ujenzi,Mkufunzi Msaidizi Jiolojia, Mhandisi Umeme II,Mpima Ardhi, Afisa Lishe, Wakufunzi Wasaidizi, Msanifu Majengo, Afisa Vipimo II, Nahodha Daraja La II, Mjiolojia Daraja La II,Mwenyekiti wa Mabaraza ya Ardhi, Afisa Mipango Miji, Mthamini Daraja La II, Mchambuzi Mifumo Ya Kompyuta Daraja La II, Fundi Sanifu Daraja La II - Haidrojiolojia , Fundi Sanifu Urasimu Ramani, Fundisanifu madini II

No comments:

Post a Comment

 
 
Nyasa Pro