VIDEO: RACHEL - NASHUKURU UMERUDI

By    


Baada ya kufanya vizuri na UPEPO, mdada anayekaribia kumfikia Ray C katika kukata mauno jukwaani kutioka katika jumba la vipaji-THT, aja na video ya NASHUKURU UMERUDI ambayo imekuwa ikingojewa kwa hamu na mashabiki kwani audio yake ilishakuwa kwa mtaa kwa muda mrefu sana.Icheki video hiyo hapo juu.