RACHEL MARETE - KELELE OFFICIAL VIDEO

By    

Music video by Rachel Marete  "Kelele".
(C) 2013 Rachel Marete
Directed by: A.Macharia
Record Produced by: Vanja Kapetanovic
Video Producer: Phi-Ny
Ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mwanadada huyu ayekuwa MISS UNIVERSE wa Kenya kuingia katika gemu ya muziki, sasa aja video yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la "KELELE". Video hii inasemekana imemgharimu kiasi cha KSh 1000000/= (1 million).