LYRICS: MADEE A.K.A SHENEIDA RAISI WA MANZESE - SI MIMI

By    
Artist:Madee
Song:sio mimi

Kololo kolo mawena na tip
Sheneida

VERSE I
Bana ndugu ebu leta tulivyo kabla mimi sijaondoka
Wanatuhadithia tatizo wakati si tushamoka
Weka bia tatu kwenye meza pale
Hiyo bili atalipa babu tale
We neema nenda ukalale
Si bado tupo mpaka mishale
Kila kitu barida
Unachotaka agiza
Chali muite Farida
Aje kabla sijamaliza
Bia nyingi nshakunywa nshalewa
Fala ukinisukuma ukinisachi mawe

CHORUS
Nani kamwaga pombe yangu
si mimi eeh (nauliza) si mimi eeh*4

VERSE II
nilitoka mara moja kwenda toi nkakuta vioja
kademu na kamen wanatumiaga choo kimoja
mnanipa wasiwasi bia yangu imebaki nusu glasi
mbona mnanigasigasi natumia hela si makaratasi
mbona unasumbuka sumbuka unaniangalia
kama hauna funguka funguka nitakulipia

acha zako za kibabe
bia zako za mazabe zabe
ukiondoka nauage wasije machizi wakukabe eeh

CHORUS
Nani kamwaga pombe yangu
si mimi eeh (nauliza) si mimi eeh*4

mi nina hasira we unacheeka
mi na hasira we unacheeka
mi nina hasira we unacheeka
mi na hasira we unacheeka
si tupo mpka mishale vituko mpaka mishale
si tupo mpaka mishale milupo chapa ikalale
si tupo mpka mishale vituko mpaka mishale
si tupo mpaka mishale milupo chapa ikalale

CHORUS
Nani kamwaga pombe yangu
si mimi eeh (nauliza) si mimi eeh*4
i go by the new name shaneida
sio mimi eeh…..till fade