A VALENTINE GIFT AUDIO FROM EBSS CONTESTANT: WALTER CHILAMBO - SIACHI

By    
Mshindi wa Epiq BSS, Walter atoa wimbo wake mpya siku ya Valentine kuwaonyesha mashabiki wake kuwa anawapenda. Much love kwa mashabiki wote wa Walter, sikiliza wimbo huo sasa