MAANA PESA NDIYO ILIFANYA TUSIWE NA TANGA NDUGU
PESA ILILETA UBAGUZI KATI YA LOYOLA NA PUGU
PESA NDIYO ILICHOCHEA BEEF YA NICE NA DUDU
NA PESA NDIYO ILIMALIZA VITA YA RUGE NA SUGU!!!
Means-
Unapozungumzia pesa basi kila mtu atakuja na tafsiri yake na
mifano na matukio yake yaliyosababishwa na pesa!! ni kitu
chenye maana pana sana na ni kitu kilichokaa nyuma ya vitu
vingi vilivyowahi kutokea!! pengine bila pesa visingetokea!!!
familia nyingi zinaface matatizo mengi sana msiba unapotokea,
hususani wa ile nguzo ya familia!!! hupelekea hata msiba
unaisha na ndugu wanashindwa kukutana na kupanga lolote na hata
kulala matanga hawalali, wanatawanyika !!! tumeshamzika tukafanye
yetu sasa...tukilala matanga ni gharama zingine tena!!!
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya mwanafunzi wa shule ya
loyola na pugu hili lipo uchi kabisa!!!utofauti huu huleta
ubaguzi ktk baaadhi ya vipaumbele...
Nilipita kwenye
familia ambayo ina mtoto wa pugu na hapohapo yupo wa loyola!!
baba yao na mama yao ni mmoja lakini kuna utofauti wa malezi ya
kielimu na vitu vingi baina ya watoto hawa wawili!! unadhani
kwanini?
Pesa ilichochea beef ya nice na dudu.....unadhani nice bila zile pesa ile beef ingekuwa kubwa kiasi kile?
Hapa sasa "pesa ilimaliza vita ya ruge na sugu"!!
-shortly ni kuwa issue ya brother sugu kuingia katika vita hii
kama ilivyosemwa awali na ilivyoonekana POINT ilikuwa kuitetea
sanaa, ambayo ni wasanii pia wakiwemo ndani hapo...kuwa
wanachokipata hakistahili kulinganisha na kazi wanayofanya!!
malipo mabovu ya show, uuzwaji mbovu wa kazi za sanaa
unawafaidisha wengine kuliko wasanii,na mengine mengi sana
tuliyasikia!! ambayo kimsingi yote yanaegemea kwenye kipato = pesa!!
Lakini baadae ikaja semwa na pande zote mbili zikakiri kuwa
songombingo hilo limeisha baada ya pande zote mbili kukubaliana
kuwa yote yaliyokuwa yakilalamikiwa yameeleweka na upande wa
brother ruge umekubali kuyamaliza yote yaliyokuwa yakilalamikiwa
kuwa sasa yameisha na yanatekelezwa!!
Sasa hiyo ina
imply nini? kama yameisha ina maana tatizo la malipo duni ya
wasanii, tatizo la wasanii kuingiza pesa nyingi na kulipwa
kidogo tofauti na wanachoingiza..na yote yaliyoongelewa SASA
YAMEFIKIA KIKOMO!!! BASI NI HABARI NJEMA KWA WASANII....
na hiyo yote ni nini?
- ni kuwa sasa watapata kipato sawa na haki yao!!
-wataifanya sanaa yao kwa njia sahihi na za faida kama ilivyokuwa ikihitajika ktk vita hiyo!!
-na wataiona faida ya sanaa kwa ujumla!!
KIPATO=MALIPO=PESA
BASI PESA NDO IMAMALIZA VITA YA RUGE NA SUGU!!
2030 YA R.O.M.A
NAYAJIBU NINAYOULIZWA NA YANAYOHITAJI UFAFANUZI!!!
MAANA PESA NDIYO ILIFANYA TUSIWE NA TANGA NDUGU
PESA ILILETA UBAGUZI KATI YA LOYOLA NA PUGU
PESA NDIYO ILICHOCHEA BEEF YA NICE NA DUDU
NA PESA NDIYO ILIMALIZA VITA YA RUGE NA SUGU!!!
Means-
Unapozungumzia pesa basi kila mtu atakuja na tafsiri yake na mifano na matukio yake yaliyosababishwa na pesa!! ni kitu chenye maana pana sana na ni kitu kilichokaa nyuma ya vitu vingi vilivyowahi kutokea!! pengine bila pesa visingetokea!!!
familia nyingi zinaface matatizo mengi sana msiba unapotokea, hususani wa ile nguzo ya familia!!! hupelekea hata msiba unaisha na ndugu wanashindwa kukutana na kupanga lolote na hata kulala matanga hawalali, wanatawanyika !!! tumeshamzika tukafanye yetu sasa...tukilala matanga ni gharama zingine tena!!!
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya mwanafunzi wa shule ya loyola na pugu hili lipo uchi kabisa!!!utofauti huu huleta ubaguzi ktk baaadhi ya vipaumbele...
Nilipita kwenye familia ambayo ina mtoto wa pugu na hapohapo yupo wa loyola!! baba yao na mama yao ni mmoja lakini kuna utofauti wa malezi ya kielimu na vitu vingi baina ya watoto hawa wawili!! unadhani kwanini?
Pesa ilichochea beef ya nice na dudu.....unadhani nice bila zile pesa ile beef ingekuwa kubwa kiasi kile?
Hapa sasa "pesa ilimaliza vita ya ruge na sugu"!!
-shortly ni kuwa issue ya brother sugu kuingia katika vita hii kama ilivyosemwa awali na ilivyoonekana POINT ilikuwa kuitetea sanaa, ambayo ni wasanii pia wakiwemo ndani hapo...kuwa wanachokipata hakistahili kulinganisha na kazi wanayofanya!! malipo mabovu ya show, uuzwaji mbovu wa kazi za sanaa unawafaidisha wengine kuliko wasanii,na mengine mengi sana tuliyasikia!! ambayo kimsingi yote yanaegemea kwenye kipato = pesa!!
Lakini baadae ikaja semwa na pande zote mbili zikakiri kuwa songombingo hilo limeisha baada ya pande zote mbili kukubaliana kuwa yote yaliyokuwa yakilalamikiwa yameeleweka na upande wa brother ruge umekubali kuyamaliza yote yaliyokuwa yakilalamikiwa kuwa sasa yameisha na yanatekelezwa!!
Sasa hiyo ina imply nini? kama yameisha ina maana tatizo la malipo duni ya wasanii, tatizo la wasanii kuingiza pesa nyingi na kulipwa kidogo tofauti na wanachoingiza..na yote yaliyoongelewa SASA YAMEFIKIA KIKOMO!!! BASI NI HABARI NJEMA KWA WASANII....