Rapper na Producer
wa mziki Swizz
Beatz ametia nguvu
kwenye mauzo ya
album ya mke wake
Alicia Keys `TRUE LOVE' kwa kununua
copi 150 za album hio.
Swizz alisema yeye
ni mshabiki mkubwa
wa Alicia Keys na
alifunguka kupitia
ukurasa wake wa
twitter kuwa
anamkubali sana
baby mama wake.
Fahamu kuwa album
hii ya 5 ya alicia keys
inategemewa kuuza
copi 170,000 kwenye
week ya kwanza
toka imeingia sokoni
tarehe 27 Novemba.
Mcheki Swiz Beatz
akinunua Album Za
Alicia Keys.
