NEW VIDEO: DIAMOND PLATINUM - KESHO

By    
Ni ngoma mpya kutoka kwa wasafi intertainment ambayo video yake imefanywa nchini Kenya kwa Ogopa videoz. Ni bonge la ngoma ambalo ndani yake kuna msanii maarufu AVRIL kutoka Kenya ambaye anakimbiza kwa umbo na sura yake ya uzuri. Icheki video hiyo