Rapper Lil Wayne
ameweka wazi
mpango wake wa
kuacha mziki baada
ya album yake
ya`The Carter V'
kuingia sokini na hii
ndio itakuwa album
yake ya
mwisho.Fahamu
kuwa ni mmoja ya
wasanii wenye
mashabiki wengi
sana duniani na
tarehe 19 February Lil
Wayne atatoa album
iliyosubiriwa kwa
hamu sana `I Am Not
A Human Being'. Lil
Wayne alinukuliwa
akisema alianza
kufanya Rap akiwa
na miaka 8 ,Na kwa
sasa anamiaka 30,ni
muda mrefu sana
amefanya kitu hicho
kimoja tu.Wayne
alisema `Kwa sasa
niacheni nifanye
mambo mengine
kwanza ambayo pia
napenda
kufanya.Nikichoka
nitarudi tena' .
Kwa sasa Lil Wayne
anasimami
usambazaji na
mauzo ya bidha zake
za Trukfit Ambazo
ni Kofia , Masweta,
T-Shirts na Soon
tutapata Viatu vya
Trukfit.
Lil Wayne