KILIMANJARO STARS YAANZA VIZURI CECAFA KWA KUICHAPA SUDAN 3-0

By    

Kilimanjaro Stars imeyaanza kwa kishindo mashindano ya CECAFA Senior Challenge baada ya kuwachapa Mamba wa Nile, Sudan kwa mabao mawili kwa bila. Alikuwa ni mshambuliaji John Bocco Adebayor aliefunga mabao yote mawili baada ya kazi nzuri ya Mrisho Ngassa. Kwa matokeo hayo Stars sasa inashikilia nafasi kwenye kundi B huku Burundi ikiongoza baada ya kuichapa Somalia 5-1 katika mchezo wa kwanza. Tunawapongeza Kili Stars wanaodhaminiwa na bia yako ya Kilimanjaro Premium Lager
KILIMANJARO STARS 3-0 Sudan
Kilimanjaro Stars imeyaanza kwa kishindo mashindano ya CECAFA Senior Challenge baada ya kuwachapa Mamba wa Nile, Sudan kwa mabao mawili kwa bila. Alikuwa ni mshambuliaji John Bocco Adebayor aliefunga mabao yote mawili baada ya kazi nzuri ya Mrisho Ngassa. Kwa matokeo hayo Stars sasa inashikilia nafasi kwenye kundi B huku Burundi ikiongoza baada ya kuichapa Somalia 5-1 katika mchezo wa kwanza. Tunawapongeza Kili Stars wanaodhaminiwa na bia yako ya @[157848754341418:274:Kilimanjaro Premium Lager]