Msanii wa muziki wa kizazi kipya diamond platnumz katulete wimbo mpya unaoenda kwa jina la Hallelujah akimshirikisha Morgan Heritage
UNAWEZA DOWNLOAD KWA KUBONYEZA LINKI HAPO CHINI
Wimbo wa "Eneka" umeandikwa na Diamond Platnumz &Beat imenyongwa na Laizer Classic kutoka Wasafi Records Tanzania... Video imerekodiwa huko , South Africa na mwongoaji Sesan..