TAARIFA KWA UMMA

OWM-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2015. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali.

(BOFYA HAPO CHINI KUONA MAJINA)
Uchaguzi Kidato Cha 5

Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana 31,700 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi. Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 29,744 wakiwemo wasichana 11,450 na wavulana 18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati; na wanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 na wavulana 13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na Biashara.

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2015 wataanza muhula wa kwanza tarehe 18 Julai, 2015 na hakutakuwa na fursa ya mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.

Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi mwaka 2015 inapatikana kwenye tovuti ya OWMTAMISEMI ya www.pmoralg.go.tz

Imetolewa na Katibu Mkuu,

(BOFYA HAPO CHINI KUONA MAJINA)
Kama unavyoiona hapo juu hiyo ilikuwa ni siku za nyuma zaidi ya miaka miwili iliyopita, hakukuwa na tofauti kati ya wasanii hawa waili Diamond na Ali Kiba na kama zilikuwepo basi zilikuwa ni za chinichini kiasi hata mashabiki hawakuweza kuzijua na isitoshe kwa wakati huo hakukuwa na ushindani mkubwa kati yao kitu amacho ni tofauti na sasa kila mmoja anataka kuwa juu ya mwenzake na kuonekana yeye ni bora zaidi kuliko mwenzake.
Hadi sasa bado imekuwa ni utata mkubwa juu ya wasanii hawa vinara kabisa hapa nchini na kusababisha mgawanyiko mkubwa sana wa mashabiki kitu kilichopelekea kuzaliwa kwa timu mbalimbali za ushabiki wa mziki wa Bongofleva ambazo zimekuwa zikizidi kushika kasi huku kila timu ikijitahidi kuuandika vibaya upande mwingine ilimradi tu kufanya timu yake na mtu wake aonekane yuko juu zaidi ya mwenzake.
Wadau na wasanii mbalimbali wameonekana kukerwa sana na timu hizo kwani zinapelekea kuwaingiza na wasanii na wadau wengine katika ugomvi huo, mfano Davido kutoka Nigeria alikereka na Timu Kiba ilipoonekana kujaza maneno ya kumdhihaki msanii Diamond katika ukurasa wake katika kinyang'anyiro cha tuzo za MTVMAMA 2015. Pia wasanii Aika na Nahreal Mkono kutoka kundi la Navy Kenzo wameliongelea suala hilo katika upande hasi masaa machache yaliyopita katika kituo cha luninga cha EATV.
MUNGU AWAJAALIE WASANII HAWA WAWILI WAWEZE KUKETI CHINI NA KUZIMALIZA TOFAUTI ZAO KWANI NAAMINI NI WAAMINI SAFI WA DINI NA DINI SIKU ZOTE HUIMIZA UPENDO.

Video hii mpya inayongojwa kwa hamu sana na mashabiki na maadui wa msanii Ali Kiba imepikwa na Meji, muongozaji wa video za muziki wa Nigeria aliyoongoza video za wasanii wakubwa wakiwemo Asa – Eyo, Seyi Shay – Crazy (ft Wizkid), Asa – Satan Be Gone Who Is Ugo Mozie, The Thirst – Today, Seyi Shay – Murda (ft. Patoranking & Shaydee) na wengine wengi.
Imekuwa ni mtihani mkubwa sana kwa Kiba kutokana na ushindani uliotengenezwa na Team mbili kubwa hapa Bongo ni ile ya Kiba na ya Diamond ambazo kila moja iko macho usiku na mchana kuangalia mwenzake anafanya nini na anakosea wapi ili kutengeneza stori za mtaani.
Nadhani Kiba ashaweka mambo sawa kama unavyoona hapo chini katika picha. 


16988_990200034336801_4146814098156743901_n
Alikiba akiwa location wakati wa kushoot video ya Chekecha



10419531_990193444337460_3260891963810469927_n


Msafara mzito

10492225_990201447669993_7581675239533707725_n
11011528_990194494337355_4615383484417176514_n
11231144_990201271003344_8854053808644133869_n
11350568_976872012336270_2707229765011132660_n
11390285_976875359002602_5456705516142548614_n
11391298_976876112335860_7242710990353253583_n
11403066_990194851003986_701004039154159501_n
via




MAMA 2015 NOMINEES:

Best Male 
AKA (South Africa)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Sarkodie (Ghana)
Wizkid (Nigeria)

Best Female 
Bucie (South Africa)
Busiswa (South Africa)
Seyi Shay (Nigeria)
Vanessa Mdee (Tanzania) 
Yemi Alade (Nigeria)

Best Group 
B4 (Angola)
Beatenberg (South Africa)
Black Motion (South Africa)
P-Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)

Best New Act Transformed by Absolut 
Anna Joyce (Angola)
Cassper Nyovest (South Africa)
Duncan (South Africa)
Patoranking (Nigeria)
Stonebwoy (Ghana)

Best Hip Hop
Cassper Nyovest (South Africa)
K.O. (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Olamide (Nigeria)
Youssoupha (DRC)

Best Collaboration 
AKA, Burna Boy, Da LES & JR: “All Eyes On Me” (SA/Nigeria)
Davido featuring Uhuru & DJ Buckz: “The Sound” (Nigeria/SA)
Diamond & Iyanya: “Bum Bum” (Kenya/Nigeria)
Toofan & DJ Arafat: “Apero Remix” (Togo/Ivory Coast)
Stanley Enow & Sarkodie: “Njama Njama Cow Remix” (Cameroon/Ghana)

Song of the Year 
Cassper Nyovest: “Doc Shebeleza” (South Africa)
Euphonik featuring Mpumi: “Busa” (South Africa)
DJ Fisherman & NaakMusiQ featuring DJ Tira, Danger & Dream Team: “Call Out” (South Africa)
K.O featuring Kid X: “Caracara” (South Africa)
Lil Kesh Featuring Olamide & Davido: “Shoki Remix” (Nigeria)
Mavins: “Dorobucci” (Nigeria)
Sauti Sol: “Sura Yako” (Kenya)
Toofan: “Gweta” (Togo)
Wizkid: “Show You The Money” (Nigeria)
Yemi Alade: “Johnny” (Nigeria)

Best Live 
Big Nuz (South Africa)
Diamond (Tanzania)
Flavour (Nigeria)
Mi Casa (South Africa)
Toofan (Togo)

Video of the Year 
“Crazy” - Seyi Shay Featuring Wizkid; Director: Meji Alabi
“Doors” - Prime Circle; Director: Ryan Kruger
“Love You Everyday” - Bebe Cool; Director: Clarence Peters
“Nafukwa” - Riky Rick; Director: Adriaan Louw
“The Sound” - Davido Featuring Uhuru & DJ Buckz; Director: Sesan

Best Pop & Alternative 
Fuse ODG (Ghana)
Jeremy Loops (South Africa)
Jimmy Nevis (South Africa)
Nneka (Nigeria)
Prime Circle (South Africa)

Best Francophone
DJ Arafat (Ivory Coast)
Jovi (Cameroon)
Laurette Le Pearle (DRC)
Tour 2 Garde (Ivory Coast)
Toofan (Togo)

Best Lusophone
Ary (Angola)
B4 (Angola)
Nelson Freitas (Cape Verde)
NGA (Angola)
Yuri Da Cunha (Angola)

Personality of the Year 
Basketmouth (Nigeria)
Bonang Matheba (South Africa)
OC Ukeje (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Yaya Toure (Ivory Coast)
Unapoongelea mafanikio ya wasanii kama Linah, Vanessa Mdee au Ruby kimuziki basi huwezi kukosa kumtaja kijana mmoja aitwae BARNABA. Na si hao kunalist kubwa sana ya wasanii ambao nyuma ya mafanikio yao Barnaba kahusika kwa kiasi kikubwa.
KIUKWELI KIJANA HUYU ANAFANYA KAZ KUBWA SANA KIMUZIKI LAKINI KWA MAKUSUDI TUMEAMUA KUTOKITAMBUA  ANACHOKIFANYA.
Barnaba amekuwa akitunga si tu nyimbo zake bali kuwatungia hadi wasanii wenzake, angekuwa USA tungempa jina la GHOSTWRITER.

Lakin kwakuwa lengo lenu ni kuwabeba wasanii fulani kinguvu ili kuwakomoa wasanii wengne, mmeamua kumnyima tuzo yake ya MTUNZI BORA, huku mkijiumbua wenyewe kwa kumpa tuzo kibao msanii anaeandikiwa na huyu jamaa.

Nchini USA ambako tuzo za BET hufanyika, waliwai mpambanisha Diamond na wasanii kama Davido na kiukweli kwa kura tu Diamond alishinda, ila kura sio kigezo cha pekee zinachangia 60% ya ushind, 40% zinazobaki zinaamuliwa na COMMON SENSE ya majaji NDIO MAANA Davido mwisho wa siku alishinda kwa common sense Inayobebwa na kazi halisi.

KTMA mliwai kutuambia miaka kadhaa iliyopita kuwa kura sio kigezo cha pekee kuamua mshindi, JE INAMAANA COMMON SENSE YA MAJAJI WENU NDIO IMEWAONESHA BARNABA hastaili iyo tuzo?

Afu mbona mwaka huu mmekuja kujitetea sana kuusu kura tu, hamuongelei mchango wa majaji???
Atakuwa anajisikiaje kijana wa watu akifikiria mnachomfanyia mashabiki? Unapoongelea mtunzi bora wa wasanii wa kuimba KWA mwaka uliopita basi BARNABA IS THE SECOND TO NONE na sijamuona ata aliyevuka nusu yake.
 
Ikifika 2020 mtapoanza kuuliza imekuwaje Barnaba hana tuzo na ndio mjue blunders mnazifanya sasa makusudi asipate.

Source: MartinFlorian Mgeni

Kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii Bonta amelaani kitendo cha kuipa tuzo video bora ya mwaka ambayo imeongozwa na kufanywa nje ya nchi na kukiita kitendo hicho ni suala la kuua vipaji vya waongozaji wa ndani huku akikifananisha kitendo hicho ni sawa na kuweka dagaa wa kigoma na papa wa baharini mwenye njaa kali katika kapu moja
Hichi ndicho alichofunguka mkali huyo kutoka weusi "KTMA INAUWA VIDEO DIRECTORs WA TANZANIA
ni kawaida kila baada ya Tunzo zozote kunakuwa na mfululizo wa lawama za hapa na pale kuwa flani hakustahili ama flani kaonewa na hii yote inatoka na kuwa HUMAN BEINGS ARE SELFISH IN NATURE so wanaathirika sana na matukio km hayo!!
turudi kwenye mada, nilifatilia kipengele cha VIDEO BORA YA MWAKA na baadhi ya washindanishwaji walikuwa Ay,Diamond,Alikiba ambao video zao wote zimedirectiwa na madirector wa nje ya Tanzania,na iliyoshinda pia ni video ya director wa nje!!nini maana yake sasa unapokusanya madirector wa nje na kuja kuwashindanisha hapa Tz eti unatafuta video bora ya Tanzania!!hapo ni unatafuta video bora ya nje na kuendelea kuwakuza madirector wa nje!! nina hakika ili msanii ashinde video bora mwakani lazma aende nje ndio maana utaskia daily wasanii wetu wapo SA!! ni ukweli usiopingika kuwa madirector wetu bado ni wachanga ukilinganisha na wa nje!!jiulize nani anaetakiwa kuwalinda na kuwakuza???kama taasisi inayoaminika inawatunza waliofanya vizuri mwaka husika inathubutu kuwaweka kwenye pool moja dagaa wa kigoma na wale papa wenye njaa kali wa pwani ya somalia??!!!
kuna kipindi ktk soka vilabu vya hispania na italy viliwekewa kiwango cha kusajili wachezaji wa nje ili kuwalinda wazawa, kiuchumi miaka 25 iliyopita China ilikuwa hairuhusu bidhaa yoyote kutoka nje ili kuvilinda na kuvikuza kwanza viwanda vyake lakini sisi tuliruhusu ndio maana viwanda vya nguo, nyuzi, ngozi, maziwa nk vilikufa!!!
KTMA ilimuuwa Adam Juma na sasa inawauwa Nisher, Hanscana, Khalfani nk"
"

BOFYA HIYO PICHA HAPO CHINI

http://livestream.com/KTMA2015/live


Siku ya leo msanii Diamond na Fella wamepost kupitia akaunti zao za kijamii kuusiana na ujio wa video hiyo mpya kutoka kwa Yamoto Band. Alicoandika Diamod "Wadau kuanzia jumatatu hii inshaallah tutakuwa tunashoot Video ya kwanza ya Vijana wetu @Yamoto_Band Mjini Joburg / South Africa chini @i_am_godfather ... nia na Madhumuni ni kuona jinsi gani tunaweza kutengeneza njia nyingine kupitia @Yamoto_band Kupenyeza mziki wetu Africa... Tafadhali naomba mtuombee na kutusmamaia hili lengo hili Nilitimize 
🙏""

Video mpya ya Iyanya ambayo amemshirikisha Diamond Platnumz, "Nakupenda". Iliyofanywa na kampuni ya Made Men Music Group chini ya mwongozaj Patrick Ellis.

Najua utaskuwa si meni na Meda kwa hit song yake ya "Barua kwa Diamond" ambayo ilifanya vizuri sana kitu kilicofanya adi Nololo master kuipa sapoti kupitia akaunti yake ya facebook na kuwafikia watanzania wenggi zaidi na kukijua kipaji hiki kutoka nyanda za juu kusini.
basi fanya uione na hii video yake mpya iliyofanywa na Director Nicklass wa Image Nation kutoka pande za Iringa. 
1-wizzy
Bi Mdada anaitwa Sophie Rahman. Inasemekana ndiye girlfriend wa kwanza wa Wizkid kutokana na chanzo kimoja kutoka Nigeria. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mziki mzuri kutoka Nigeria basi utakumbuka huyu dada ashaonekana kwenye video ya wimbo gani. "Holla at your boy" ndio video ya kwanza ya Wizkid ambayo ilifanya vizuri sana. Ndani ya video hii kuna mdada ambaye wizkid alikuwa anamzimia kitu kilichofanya rafiki yake amkaushie na hata class tisha akamzingua kwani alikuwa anamtaka Wiz. Basi yule dada ndio huyo aliyehaso na Wiz tangu mwanzo kabisa wa sanaa yake kwenye shida na raha.
Kwa sasa Wizkid hayupo tena na mdada huyo kwa kile kinachodaiwa kuwa Wiz alimuacha mdada huyo Half Cast baada ya kuwa star na kufahamika kila kona ya mtaa na nje ya nchi yake. kama ilivyokawaida binadamu huwa ni wagumu kukumbuka kitovu cha mafanikio yake.

2-wizzy
3-wizzy
blogger-image-1686884238   SOO