This song 'NANA' it has been produced by Nahreel and Mastered by Tudd Thomas both from Tanzania, and written by Diamond Platnumz and Mr.Flavour, the video was shot in Cape Town, South Africa by Godfather Production.


Diamond Quoted:

"I been quite for sometimes on releasing Afro-Pop Since 'Number One" came

out, because i was releasing soms East Africa Traditional songs, Such as "Mdogo Mdogo" ,o'Ntampata Wapi" and o'Nasema Nawe" but this time am back at it again on Afro Pop, and let see what ooNANA'n has to offer to the world because she drives me crazy, haha'' 
Enyoy full video below



Check on it! 


Check on it! 


The video was directed by Sesan in South Africa. Check on it! 


Ikiwa ni miaka miwili tangu rafiki kipenzi cha watanzania Albert Mangwea umetutoka.
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA, NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE, ASTAREHE KWA AMANI ALBERT MANGWEA.
DAIMA TUTAKUKUMBULA



Msanii mwenye jina kubwa Afrika na dunia nzima kutokea kwenye ardhi ya JK azidi kupasua anga na kuwadondosha udenda wasanii wenzake kwa kuweka wazi kazi zake. Sasa anakuja na wimbo mwingine akimshirikisha msanii wa kimataifa Mr. Flavour ambaye ashafanya nyimbo nyingi na kali na wasanii mbali mbali ndani na nje ya Nigeria. Wimbo huo unaenda kwa jina la Nana lakini bado hajaweka wazi kipi kinachozungumziwa ndani ya wimbo huo.


Kama unakumbuka Diamond ashafanya nyimbo nyingi na kali akiwashirikisha wasanii kutoka Nigeria ambazo zimemfikisha mbali sana na kumfanya kuwa nominated katika tuzo mbalimbali kama zile za Chanel O, MTV, AFRIMAMA na nyingine nyingi za hapa nyumbani Tanzania na Afrika.

Watch this new hit song from Nick, she wanna break the record as she did in Pink album. We Sikiliza Mdundo media have realized that its real a heat song of this year from Nick.


Vijana wa Bodaboda ambao kwa hiari yao wenyewe na mapenzi mema kwa toto la kimanyema Thhe prezdaa bn laden wamejitokeza kumlaki kijana yao mpendwa Chibu ambaye atakuwa jijini Mwanza kwa ajili ya kuanusha bongge la shoo iliyopewa jina la "Jembeka festiva"






Siku zote wanasema kizuri kinajiuza chenyewe, ni katika harakati za kusaka mziki mzuri masikioni mwangu nikakutana na huu wimbo kutoka kwa Buoywonda maskani yake Kenya, kwa kweli sikukiamini ila ladha niliyoipata masikioni mwangu, melodi tamu, mashairi yamepangika na kila kitu kizuri kiko humu. Nikaamini ule usemi usemao avumaye ni papa kumbe na wengine wamo.
Hebu nawe sikiliza wimbo huu mtumie na rafiki yako ili tuweze kukuza vipaji hivi ambavyo ni tunu kubwa sana Afrika mashariki na dunia kwa ujumla, tumpe sapoti kijana ili aweze fika mbali.


Ni ujio mwingine wa G - Nako ama G- Warawara the Kankara, the Finest kutoka kipande cha A Town, R-Chuga kijana mkali wa Bongo ambaye kwa sasa analiwakilisha vyema sana kundi la weusi ameachia kichupa chake kinachokwenda kwa jina la Sichezi mbali. Kisikilize kiko poa sana.



Msanii Pipi ameamua kurudi upya baada ya kimya kirefu tandu alipojifungua mwane Kingstone, hii ndio ngoma yake mpya ambayo ameiachia hivi karibuni.


Audio Produced By Tudd Thomas
Video Directed by Kevin Bosco Jnr

Chris Brown and daughter Royalty

2015 Billboard Music Award hosts Chrissy Teigen and Ludacris.
Host wa show hiyo alikuwa ni msanii na mwigizaji maarufu Ludacris pamoja na mwanadada mrembo Chrissy Teigen
Who will take home a Billboard Music Award? Check back here for an updated winners list throughout the show!
Billboard Music Awards 2015: Check Out All of Our Coverage
See the full list of finalists below:
TOP ARTIST
Ariana Grande
One Direction
Katy Perry
Sam Smith
Taylor Swift -- WINNER
TOP COUNTRY ARTIST
Jason Aldean
Luke Bryan
Florida Georgia Line -- WINNER
Brantley Gilbert
Blake Shelton
Taarifa hii inakuja baada ya Davido miezi kadhaa iliyopita kudai kuwa anatafuta mjengo wa kuishi huko Marekani. Chanzo kimoja kinadai kuwa Davido alizungumzia suala la uhitaji wa nyumba mwezi Machi.
 
Msanii huyo anayekimbiza katika miondoko ya Pop kutoka Nigeria mwenye umri mdogo (22) lakini pesa nyingi ameonesha jeuri hiyo ya kumiliki mjengo huo kwa baadhi ya picha alizozitupia mtandandaoni hivi karibuni.
     

Hizo ni baadhi ya picha zinazoonyesha mjengo huo.
Akon and Davido, who has completed his third international collaboration in the last three weeksKwa sasa Davido na Kaka yake Adewale Adeleke ambaye ndiye anamsimamia sana Davido katika mziki chini ya lebo yao ya HKN wamekuwa U.S.A kwa muda mrefu ambapo pia msanii huyo amekuwa akionekana na wasanii wakubwa duniani kama AKON ambaye inasemekana wana wimbo wa pamoja "Lie to you", alisema Akon kupitia mtandao wa twita, lakini chanzo cha karibu kinasemekana hiyo yote ni kutokana na maandalizi ya albamu ya pili "The baddest" inayotarajiwa kutoka mwezi June 2015
Watch and Share the Maua Sama's official video of her latest release featuring Ben Pol 
LABEL: Lifeline Muzik.
PRODUCER: Ema the Boy

https://www.youtube.com/watch?v=Vd4pK_OQLfU

Ni ngoma ambayo imeshaanza ku-make headlines kabla haijatoka labda ni kutokana na maneno ambayo msanii huyo amekua akiyapost kupitia mitandao ya kijamii au promo ambayo ngoma hiyo imekuwa ikipewa na Mrembo Shamsa Ford ambaye inasemekana kwa sasa na Naytruboy ni wapenzi.
 Pia Diamond Platnumz kapost kitu ambacho moja kwa moja kinaonekana kuilenga nyimbo hiyo 
"Kha! Huyu nae anakuwaga Boya sometimes... we akili yako unaona kila kitu kinataka pesa tu.. hayo mambo ndio yalokufanya kile kidem chako cha Mwanza kikuchune halaf mwisho wa siku watu wamekipa viuno ipaswavyo, kiulainiiii wamejichkulia, Unabaki kutwa kuhaha na Mtoto... Mwanamke anatakiwa Ufundi, Madoio, Manjonjo kwa bed UMENISKIA @naytrueboy ??? ‪#‎MapenziAuPesa‬"

Kwa mtazamo wa timu ya Sikiliza Mdundo na tathmini ndogo tuliyoifanya kufuatia ujio wa ngoma hiyo yawezekana ikateka sana mashabiki na kuleta misemo mingi kama ilivyokuwa kwa ile ngoma ya STAMINA + FID Q - WAZO LA LEO.
Lets stay tuned tuone ujio huo kama utakuwa na mshindo au ni nguvu ya soda.
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mziki habari za town basi utakumbuka kuwa wikendi hii msanii Mabeste alifanya tukio maalumu pale MAISHA CLUB ambapo pesa iliyopatikana katika show ile ni kwa ajili ya matibabu ya mke wake LISSA ambaye amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda sasa.
Kuambatana na tukio hilo Msanii Mabeste kaamua kuachia wimbo maalumu kwa ajili ya Mke wake ambao rasmi utatambulishwa katika kituo cha Redio cha Clouds FM leo kutokana na taarifa tuliyoipata kutoka kwa Adam Mchomvu moja ya watu wa karibu wa msanii huyo.
"#‎Tune‬ ‪#‎XXL‬ Mabeste leo ataachia New Single maalum aliyomwimbia mkewe LISA utaiskiliza ‪#‎Exclusive‬ hapa!!"  - XXL Clouds Fm Radio

STAY TUNED SIKILIZA MDUNDO ITAKULETEA WIMBO HUO SOON UKIWA RELEASED


Get More:

https://igcdn-photos-e-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xat1/t51.2885-15/11203224_910033252382404_1332654534_n.jpg
 https://scontent-lhr.cdninstagram.com/hphotos-xpt1/t51.2885-15/11192654_610384672432066_10186400_n.jpg

https://igcdn-photos-a-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpa1/t51.2885-15/11189996_492074414272992_62272415_n.jpg  https://igcdn-photos-a-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xap1/t51.2885-15/11208331_1588769858059920_256179285_n.jpg
https://igcdn-photos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xtp1/t51.2885-15/11192977_1586462684972793_1946938495_n.jpg
  
https://igcdn-photos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpa1/t51.2885-15/11195600_1571558613108629_523554386_n.jpg

TID


Diamond akiwachengua mashabiki kwa wimbo wake wa Nasema Nawe aliomshirikisha Malkia wa Taarab, Khadija Kopa.
Malkia wa Taarab nchini, Khadija Kopa akiimba sambamba na Diamond Wimbo wa Nasema Nawe.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shetta akiwarusha mashabiki waliofika katika Usiku wa Zari All White Party.
Diamond na Nay wa Mitego wakiimba ngoma yao ya Muziki Gani.
Mashabiki wakijiachia.
Diamond Platnumz akizikonga nyoyo za mashabiki.
Ray Kigosi na Mama Rolaa nao ndani.
Diamond akicheza na mashabiki wake.
Nyomi iliyohudhuria shoo hiyo.


MAKONDA






Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu.
Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City.
Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu.
Wasanii wa Yamoto Band wakiwa wametulia tayari kwa shoo ya usiku wa leo.
Mpiga Picha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (kati) akipozi na watangazaji Sauda Mwilima wa Star TV(kulia) na Khadija Shaibu 'Dida' wa Times FM.
Wanausalama wakiwaondoa baadhi ya watu waliokosa tiketi.
Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo mashabiki wa Diamond.



(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)