Furaha yake ni pale ambapo ukimuita mtoto wa singida ni mmoja ya wasanii amabao wanajivunia mkoa ambao wamezaliwa.


Hizi ni picha nne alizozipost Riri leo mtandaoni na kuandika 'Island'




Baada ya wimbo wa Joh Makini wa XO kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya radio na Tv sasa ajipatia bahati ya kuingia katika tuzo za watu mwaka 2015.
Jinsi ya kumpigia kura rapa Joh Makini ili aweze kushinda tuzo hiyo fuata maelekezo yaliyopo kwenye picha hiyo hapo juu.





Baada ya kupata tununzo hizo hichi ndicho Raisi wa Wasafi alichokiposti kupitia akaunti yake ya facebook
"Jus a minute ago as I was Announced and Honored a Book Trophy of 50 years of the United Republic of Tanzania as an ICON of the NATION. thank you so much my Country for appreciating my Contribution.

Muda Mchache uliopita nlipotangazwa na kupokea tunzo ya kitabu Cha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania kama ICON wa Taifa...Shukran sana kwa kutambua na kuthamini mchango wangu...
na hawa ndio ma ICON wengine wa Taifa Walio andikwa na kutajwa:
-Maria Nyerere
-Asha Rose Migiro
-Bi kidude
-Filbert Bayi
-Adam Shafi -Dr. Salim Ahmed Salim
-Getrude Mongela
-Javed jafferji
-Steven Kanumba
-John da silva
-Happiness Magese
-Juma Aley
-Proffessor issa shivji
-Proffessor Haroub Osman
-Haji Gora"
Mtangazaji wa Clouds Media Group anayepaza sauti yake kwenye kipindi cha Ala za Roho amekuja juu na kudai Ali Kiba Sio type ya mwanaume anayemuhitaji. Hii imetokea baada ya video ya Ali Kiba kuvuja akimla denda Diva. Msikilize hapo chini akiongelea suala hilo.

Credits: Kishymba