“Mwana” is Alikiba’s most anticipated music video to date. ‘Mwana’ is Alikiba's 1st official release through his worldwide partnership with his record label and management company ROCKSTAR4000 and Rockstar Publishing. The Music Video ‘Mwana’ is the first single from Alikiba’s 3rd Album, released after a 3-year hiatus from the music scene. Alikiba describes this album as his “most personal and mature project that pushed his versatile talentand creativity to inner depths.”

Fans can also follow Alikiba on any of his social media and official digital networks:


FOLLOW ALIKIBA:

Official Website: www.IamAlikiba.com
Facebook: www.facebook.com/rockstar.alikiba
Twitter: @OfficialAlikiba ortwitter.com/officialalikiba
Instagram: @OfficialAlikiba orinstagram.com/officialalikiba
DJ Mzoefu na Blogger DJ Choka leo amefunguka baada ya kusikiliza mkwaju mpya wa Izzo Bizness  Mr Xmass na Kuguswa na moja ya line ya track hiyo.

NAOMBA KUZUNGUMZA HIKI.

"Nimesikiliza wimbo mpya wa @izzo_biznesss zaidi ya mara kumi na kuna #LINE nyingi kaziimba lakini mstari huu ndio umenigusa. "TUMEPANDA GARI MOJA TUMELIPWA TOFAUTI"
Hii line imenigusa KINOMA kwasababu ninauzoefu wakuwa kwenye TOUR BUS muda mrefu sana nikiwa na wasanii wakubwa wa hapa nyumbani na nimeshasafiri TOUR zote kubwa hapa TANZANIA.

Kuna tour nyingine wasanii wanalipwa kwa kumwangalia msanii, utasikia ananyimbo ngapi Huyu basi alipwe hivi, utakuta msanii mkubwa hapa bongo anawekwa kwenye show moja na hawa wasanii wadogo ambao husema wamepewa hela nyingi kwasababu anahit song kwa wakati huo.

Chaajabu msanii aliyepewa hela nyingi anaenda kuboronga lakini anayelipwa hela ndogo bora mradi liende yeye ndio anaenda kuwarusha mashabiki KINOMA NOMA. Kinachokuja kuendelea msanii mdogo analeta dharau na kuanza kusema hawa wakongwe wameshachuja. Kinachowafanya wawe vile ni kwasababu nyie waandaaji mnawaweka KIMATABAKA, Wasanii fulani walale HOTEL ile na hawa walale hotel ile pale, unadhani kutakuwa na nini hapo.

Wasanii wa BONGO wangekuwa wanalipwa sawa kwenye show zao za TOUR ingeleta maana sana halafu hili neno ya kwamba mimi nalipwa zaidi kuliko msanii mwingine iwe kwenye zile show zao moja moja wanazopiga mikoani au kwenye vimeo vyao vingine vyakutafutia UGALI.

#NIMEMALIZA" Alisema DJ Choka.
Photo: Nimesikitishwa Sana na habari zilizoandikwa na moja ya chombo cha habari, kuwa eti nliwanyanyasa wasanii wenzangu Nyota ndogo na Susumila,  kwa kuwafukuza kwenye VIP lounge na sijui eti niliwazuia wasitumie maji ya chupa hivi inaingia akilini kweli hii!!!?? Ningependa kutumia nafasi hii kuwajulisha mashabiki zangu waliokutana na story hizo kuwa sio za kweli ni zenye lengo la kudhoofisha  Mahusiano yetu mazuri ya wasanii Wa Africa mashariki..kama BigEye ya Uganda ilivyowahi kuandika habari za upotoshaji Kati yangu na Jose Chameleone.. Pia Nawasihi @Bongofive ni vyema mtambue Nafasi yenu kwenye jamii kwa sasa, Kuweni makini na baadhi ya habari mnazo post ama kureport kutoka baadhi ya mitandao,  zinavunja mahusiano mazuri ya wasanii wa East Africa...kumbukeni kuna watu wana tabia ya kujudge kitu kwa kusoma kichwa cha habari tu pasipo kufuatilia undani wa habari...Yawezakuwa mwaandika kwa nia njema tu, lakini ni vyema muwe mnapata na uhakika kwanza kabla ya kuripoti, hususan story za kutengeneza chuki kama hizi....kufanya hivyo ndiyo mtasaidia kukuza industry yetu ya East Africa...
Nimesikitishwa Sana na habari zilizoandikwa na moja ya chombo cha habari, kuwa eti nliwanyanyasa wasanii wenzangu Nyota ndogo na Susumila, kwa kuwafukuza kwenye VIP lounge na sijui eti niliwazuia wasitumie maji ya chupa hivi inaingia akilini kweli hii!!!?? Ningependa kutumia nafasi hii kuwajulisha mashabiki zangu waliokutana na story hizo kuwa sio za kweli ni zenye lengo la kudhoofisha Mahusiano yetu mazuri ya wasanii Wa Africa mashariki..kama BigEye ya Uganda ilivyowahi kuandika habari za upotoshaji Kati yangu na Jose Chameleone.. Pia Nawasihi @Bongofive ni vyema mtambue Nafasi yenu kwenye jamii kwa sasa, Kuweni makini na baadhi ya habari mnazo post ama kureport kutoka baadhi ya mitandao, zinavunja mahusiano mazuri ya wasanii wa East Africa...kumbukeni kuna watu wana tabia ya kujudge kitu kwa kusoma kichwa cha habari tu pasipo kufuatilia undani wa habari...Yawezakuwa mwaandika kwa nia njema tu, lakini ni vyema muwe mnapata na uhakika kwanza kabla ya kuripoti, hususan story za kutengeneza chuki kama hizi....kufanya hivyo ndiyo mtasaidia kukuza industry yetu ya East Africa...
.
AISHA MADINDA AFARIKI: Aliyekuwa mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde jijini Dar. Asha Baraka amethibitisha.
Aisha enzi za uhai wake
Alipokuwa akitambulishwa Etra Bongo
Akifanya yake jukwaani
Watch and share the brand new single by AY ft Sean Kingston & Ms Triniti titled "Touch Me".
Click to share it on Facebook: http://bit.ly/TouchMeAY
Follow me on twitter: @AyTanzania




click here to DOWNLOAD

BAADA YA KUTUA BONGO DIAMOND ASEMA HAYU KUMHUSU ALI KIBA


diamond platnumz - bongoclan.co.tz
Baada ya Diamond Platnumz kutua jijini Dar es salaam December 2 akitokea Afrika Kusini akiwa na tuzo zake 3 za Channel O, alikutana na wadau, mashabiki pamoja na
Kutoka kwa Mzazi Willy M TUVA wa Citizen TV Kenya kufuatia tuzo 3 za‪#‎CHOAMVA‬ alizopata Diamond Platnumz
"6 Things I personally Think Guyz Should Learn From DIAMOND PLATNUMZ:
  • Diamond is among Few Artistes whose Song can be Played more than 5 times in a club in a Single Night and you won't get bored coz u'll hear him with Davido then with Ney then Perhaps with Chidi Benz then may be his two or three songs solo. Artistes should learn to work with other artistes, it not only boosts them butt also boost u as well.
  • Diamond is NOT a Selfish Artiste, 3 wks ago Platnumz released his New Hit ‪#‎NitampataWapi‬ which is Currently doing very well. A week later after releasing his New Song Nigeria's WAJE released her collabo with Diamond. In a Bizzare Situation Platnumz went ahead and promote that new song that he has been featured by WAJE and don't forget he has a new song out. Only Few artistes can do that.
  • Getting Diamond News is very Easy coz Everything he does he always Posts on Social Media. He makes it Easy for Bloggers and Media to know what he is up to.
  • Diamond is very hardworking it's just the other week he did a Song with WAJE, yesterday he was shooting the Video for a Song he has been featured by Nigerian Artistes BRACKETS Famed for the hitsong ‪#‎YoriYori‬which did very well couples of yrs ago.
  • Diamond knows how to use Every Single Oppurtinity that comes his way, Look what he did with DAVIDO,Yes he spent a Fortune even travelling with his Team to Nigeria but the Hustle was worth.
  • Diamond knows how to research,Do you remember How Diamond Fully secured his Spot in the Kenyan Music industry?? Diamond Came to Kenya he had a Great Song ‪#‎Kesho‬ and he wanted to spice it,He did his research very well and he decided let me put one of Kenya's top Female artiste AVRIL as the main character in the Video,the song went ahead and became very Big in Kenya more than even in Tanzania. Artistes should Learn to Research more so when u targeting other regions market"

10011416_1547071825537217_1483824666_n-620x400

Alikiba amesafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kwenda kushoot video mpya.
Inavyoonekana staa huyo amekwenda kushoot video ya wimbo wake ‘Mwana’ uliotoka miezi kadhaa iliyopita. Kiba ameshare picha kadhaa kwenye Instagram akiwa location huku moja anaonekana akiwa na dancers wa kike.  
Mmoja ya maselebriti wa Bongo ambaye ameficha habari zake za mahusiano ni mwanadada Vanessa Mdee a.k.a Vee Money. Amewahi kuhusishwa na mkali Jux lakini akapangua, mtangazaji huyo ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongo Fleva akitamba na kibao alichoshirikiana na Barnaba - "Siri" ameonekana kunasa kwa mmoja ya wanamuziki wa Kenya anayeunda kundi la Sauti Sol.

Embedded image permalink
Kitu ambacho kimefanya hiikuwa habari ni Tweet ya Sauti Sol leo Desemba 3 kama inavyosomeka hapa: