Kama ni mfutiliaji mzuri wa muziki na wasanii wetu utakumbuka kuwepo kwa bifu kubwa kati ya Diamond na mkongwe Q Chief baada ya Q kudai kuwa Diamond anatembelea nyota yake (anamloga).
 Good news ni kwamba bif hilo limekwisha na Diamond amempa ofa ya kumlipia Q chief audio pamoja na video ili atusue maana ni msanii ambae anaemkubali.
 "Q Chief namkubali sana, anajua sana kuimba, ana miziki ambayo watanzania wanaipenda sana lakini sifaham tatizo ni nini siwezi kujaji, lakini
sikuzote natamani, kuna kipindi lani nishawahi nilikua nipo na prof jay nakumbuka nilikuwa niko uingereza nikamwambia ukikutana nae zungumza nae mwambie mi ntamlipia video na audio akashoot akafanye ngoma ambayo naamini atatusua, lakini bahati mbaya sijui ikawaje kawaje ikaishia hivyo.Ni mtu ambae natamanigi nisikie ngoma zake kila dakika...." amesema Diamond.






In preparations for the Yuletide, Nigerian queen of Soul music, releases the video to her recently dropped single, “Coco Baby”. With a feature from award winning Tanzanian singer, Diamond Platnumz, the Godfather Productions directed video is a highly colorful flick set on a beach with a couple of young, good looking men, and women dancing and swaying to the Afrobeat tune. With a laid back feel and touch to it, you’ll see that once is really not enough to watch this video! Song was produced by E-Kelly Beats.


He was a real handsome boy, but as years moves on he has totally changed.

Hakikisha unakaa karibu na Media zako Zote kesho Kuanzia saa Nne kamili Asubuhi Nikupe ile zawadi yako...huku ukiisubiria Mashine ya kuuaga Mwaka! #Ntampata_Wapi
Nakukumbusha uzidi kunipigia kura kwa mda huu wa lala salama. tuzo hizi zije nyumbani kwa kunipigia kura mara kwa mara.hivyo basi mda wowote upatapo nafasi kumbuka kunipigia kura,Kunipigia kura bonyeza link hii (http://channelo-awards.dstv.com/AwardCategory ) itakayokupeleka kwenye categories,chagua categories ninazoshindania (#MostGiftedAfricaneast#MostGiftedNewComer #MostGiftedafropop na #MostGiftedVideoOfTheYear)
Utatakiwa kujisajili kwa namba ya simu ama email chagua njia unayotaka mfano kwa namba ya simu,ingiza namba ukianza na +255 watakutumia code,ingiza code hizo na utakuwa na uwezo wa kulogin na kuvote,njia nyingine ni kupitia WE CHAT app,kama una smart phone,download,tengeneza plofile ukitumia namba yako ya simu kisha search 'CHANNELOTV" kisha fuata maelekezo utatakiwa uweke namba ya simu yako ukianza na code mfano +255762053850
,watakutumia code,ziingize na utakuwa tayari kunipigia kura kwa categories zote nne.Ahsanteni,Jioni njema.
(WAWEZA SHARE UJUMBE HUU NA RAFIKI ZAKO)

Photo: ZIMEBAKI SIKU MBILI ZOEZI LA KUNIPIGIA KURA KWENYE TUZO ZA #CHOAMVA2014 LIISHE..
Nakukumbusha uzidi kunipigia kura kwa mda huu wa lala salama. tuzo hizi zije nyumbani kwa kunipigia kura mara kwa mara.hivyo basi mda wowote upatapo nafasi kumbuka kunipigia kura,Kunipigia kura bonyeza link hii ( http://channelo-awards.dstv.com/AwardCategory ) itakayokupeleka kwenye categories,chagua categories ninazoshindania (#MostGiftedAfricaneast #MostGiftedNewComer #MostGiftedafropop na #MostGiftedVideoOfTheYear )
Utatakiwa kujisajili kwa namba ya simu ama email chagua njia unayotaka mfano kwa namba ya simu,ingiza namba ukianza na +255 watakutumia code,ingiza code hizo na utakuwa na uwezo wa kulogin na kuvote,njia nyingine ni kupitia WE CHAT app,kama una smart phone,download,tengeneza plofile ukitumia namba yako ya simu kisha search 'CHANNELOTV" kisha fuata maelekezo utatakiwa uweke namba ya simu yako ukianza na code mfano +255762053850
,watakutumia code,ziingize na utakuwa tayari kunipigia kura kwa categories zote nne.Ahsanteni,Jioni njema.
(WAWEZA SHARE UJUMBE HUU NA RAFIKI ZAKO)

Watayarishaji wanne pamoja ndani ya Bongo Records wamesuka bonge la ngoma la Young Killer akiwa na Belle 9 na Fid Q.

Ngoma inaitwa 13, imesimamiwa na P Funk Majani, Lollipop, Amiga Tyga na Palla.

Ni April 13 ya Young Killer na Agosti 13 ya Fid Q ikafanya kukamilika kwa ngoma hii.