NYIMBO SASA INAPATIKANA MKITO
https://mkito.com/song/kisa/1879/bwi-28-1041


Ambwene Yesaya ndilo jina lake halisia, akifahamika katika sanaa kama AY ni moja ya wasanii wa kitanzania ambao wamekuwa wakifanya vizuri sana katika soko la kimataifa. Kama unakumbukumbu nzuri AY ashafanya nyimbo kadhaa na wasanii mbalimbali wa kimataifa ka Freeze aliyowashirikisha P Square kutoka Nigeria, Speak With Your Body aliyomficha Ms Triniti na Romeo. Pia ashawahi kufanya nyimbo na Godie (mshiriki wa BBA aliyekuwa mpenzi wa Prezo) ambaye sasa ni marehemu, Nonin, Amani, Sauti Sol na wengine kibao kutoka ndani na nje ya Afrika Mashariki.
 
Sasa ni ujio mwingine ambao amemshirikiasha Miss Triniti na Lamyia wote kotoka nje ya Afrika Mashariki mzigo mpya unaenda kwa jina la It's Going down.
 

Ni usiku wa Mwanalizombe mmoja kati ya wanamuziki waongwe kabizsa wa mziki wa Bongo kufanya yake kwa kufanya  kufuru hiyo ya kuachia video 2 za ngoma zake ambazo tayari zinafanya vizuri katika vituo mbalimbali vya radio ndani na nje ya nchi.
Hii si ya kukosa kwani kutakuwa na masapraizi kibao jumamosi hii.
Mlangoni ni uchakavu wa pesa halali ya kitanzania shilingi 10000/=