Baada ya kuutangaza kwa muda mrefu, hatimaye Hemedy PHD atoa video ya wimbo wake mpya uitwao 'On my Wedding Day'
GUMZO HILO LA KUFANANISHA LILIKUJA BAADA YA AUNTY KUTUPIA VAZI PENDWA LA KICHWANI NA JAMII YA WATU WA NIGERIA. KIUKWELI VAZI HILO LIMEMKAA SANA AUNTY NA KUSABABISHA WENGI KUSEMA KAFANANA NA OMOTOLA KWANI STAR HUYO HUPENDA KUTOKELEZEA KATIKA MTINDO HUO MAARUFU SANA NCHINI HUMO.







S


http://photos-d.ak.instagram.com/hphotos-ak-xpf1/10483546_663177507094227_1984684415_n.jpg
IMEKUA NI KAWAIDA SANA MIAKA YA SASA KUONA WASANII WAKIFUATA MILA NA DESTURI ZA MATAIFA YA MAGHARIBI NA HASA KWA WASANII WETU WA HAPA NYUMBANI. BASI HII NDIYO PICHA NILIYOIKUTA INSTAGRAM AMBAYO IMEONEKANA KUPENDWA NA MASHABIKI WA STAR HUYO AMBAYE AMEACHIA WIMBIMBO MPYA HIVI KARIBUNI PAMOJA NA VIDEO YA COME OVER
WENGI MLIMZOEA KALAPINA KWENYE NYIMBO ZA UGUMU NAMAANISHA HIP HOP, LAKINI SASA JAMAA ANAFANYA VIDEO AMBAYO INAONYESHA KUWA NI YA MALOVEE KWANI KATOKEA NA BI MDADA KATIKA VIDEO HIYO.
MCHEKI HAPA AKIWA LOCATION USIKU WA LEO NA NICK DIZO NDIYE ANAYEFANYA VIDEO HIYO
HII NDIYO PICHA ALIYOIPOST KUPITIA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAMU KUOMBA KURA ZA MASHABIKI WAKE
http://photos-h.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/10471968_627934220635607_1959675944_n.jpg
Ni kutoka kwa Mac the public figure from Iringa town akiwakilisha kundi zima kutoka Sampamba Music atakuwa kwenye Miss Iringa akitoa burudani na wasanii kibao ambao wapo mkoani hapa kwa ajili ya Kili Music tour 2014 itakayofanyika kesho viwanja vya Samora mjini Iringa. Pia ataelekea Gentle Hill kuiweka ijumaa yako kuwa yenye furaha na kuikaribisha Kili Music Tour hapo kesho




Yes she's back and here to stay. This is a song specially written by Nakaaya for her son KING KAI. 
Download "Nakaaya-Blessing" kupitia
Usikilize kupita link hii hapa chini

NGOLOLO MASTER NA MKALI KUTOKA THT LINAH WAFANYA NGOMA HII IKIWA NI ZAWADI KWA MASHABIKI. NI NGOMA AMBAYO NI KAMA REMI YA KIZAIZAI ILIYOFANYWA NA PLATNUMZ SIKU ZA NYUMA. ISIKILIZE NA KUIPAKUA HAPA


MKUBWA NA WANAWE
YAMOTO BAND
PRODUCER: SHIRKO
WIMBO: NAJUTA





V MONEY AAACHIA HER BRAND NEW VIDEO FROM THE BEST OF HER SONGS INAYOENDA KWA JINA NA COME OVER
Ukisikia kula ujana basi mwanadada Rihanna kafunika kwani kwa staili hii kuna chaziada katumia. Maamuzi hayo kwa hali ya kawaida wengi wamechua kuanikulia kuwa kuna kutu cha ziada ambacho mwanadada huyo alitumia na kumfanya akose aibu ya kuanika sehemu zake za ndani wazi.
Baadhi wamedai hawashangazwi na alichokifanya Rir kwani ni mtu mwenye asili ya Kijamaika ambako mambo ya dancehall ndiko yalikolala so ni kawaida tu.
Cheki mwenyewe alichokifanya na utupie komenti yako kama niuungwana kufanaya kitu kama kile hadharani.

Hapo Filiboy akifanya yake kwenye tamasha kuwaburudisha mashabiki wake
Ni brand new ya track kutoka kwa vijana wakali kabisa wenye vipaji vya hali ya juu kutoka kusini mwa Tanzania. Namzungumzia Filiboy na Cent P kutoka wilayani Ludewa mkoa mpya wa Njombe,
Isikilize hii track na lazima ukubali kwamba AVUMAE NI PAPA NA WENGINE WAMO.
Isikilize na kuipakua hapo chini

 
Kupata nafasi za ajira imekuwa ngumu siku hadi siku, hususani ukitilia maanani kuwa wahitimu wanazidi kuwa wengi na hali ngumu ya uchumi inafanya waajiri kushindwa kuongeza nafasi mpya za kazi. Hauna haja ya kukata tamaa ya kupata kazi ile unayoitarajia hata kama kuna ukiritimba mwingi katika soko la ajira kama vile watu kupeana kazi kwa kujuana, nafasi za kazi kutotangazwa  au kazi haipatikani mpaka rushwa itembee. Makala hii inaenda kujadili mambo ya msingi kwa yeyote anayetafuta kazi, uwe kwa sasa umeajiriwa unatafuta kazi mbadala au uwe hauna ajira unatafuta ajira, bila shaka mambo tunayojadili hapa yatakusaidia.
1.Mtazamo wako kuhusu ajira:
Fahamu kuwa bidhaa ni chochote kile ambacho kinatimiza mahitaji fulani. Mwenye kuhitaji bidhaa huwa tunamuita mteja.