Nyimbo mpya ya Shetta a. k a Baba Kayla akiwa amemshirikisha Diamond Platinumz, jina la wimbo ni Kerewa. Kama unakumbuka jamaa washawahi fanyaga joint moja kali sana ya NIDANGANYE iliyofanya vizuri sana katika siku zilizopita. Basi this is also a brand new track from Shetta - OK, fanya kuusikiliza.
2391ad0c9b3e11e39f2b123e1e37c1b3_8

TANZANIAN HIP HOP ARTIST "MAC MC" from North Tanzania Emerge as a future King of Good Music since the 1st Joint known as MZIKI MZURI, and after that he release many Tracks such as Njoo Karibu/ Narudi Nyumbani/ Ilivyo Sasa & so so.... Here is his VIDEO Directed By Nick of IMAGENATION track Called "KWASABABU YAO" Feat. Mkwawa produced by Silley Sampamba Music. 
Find Me:
Phone: +255 755288708
Email: macmanu.maximillian957@gmail.com
Whatsap: +255 755288708
Facebook: Maclaurine Maximillian
Enjoy
Wawili hao wako katika mahusiano ya muda mrefu kama alivyodhihirisha kupitia ukurasa wake wa facebook wa The-One-Diva-Loveness-Love siku ya leo. Diva aliandika "And yes This is Gwamaka Kaihula ... ermmmm King Crazy GK to You. crazy GK to you too .. My lover n dream come true.. ermmm sio Penzi Jipya to me. Been with him for a while ....... it was so Private until ..... and yes I love My baby. kuna tatizo kwani? he is My happiness.... "

VIDEO MPYA YA YOUNG KILLER - MRS: SUPER STAR


SULTAN WA PWANI - S. W. P
Kupata matokeo ya kidato cha nne 2013 BOFYA HAPA
Kupata matokeo ya QT 2013 BOFYA HAPA

                   fMATOKEO CSEE 2013
                     fMATOKEO QT 2013
Darasa ametania kwenye wimbo wake
Ni msichana ambaye amepata jina kubwa sana baada ya kushinda tuzo kubwa za kimataifa za EEBAFTA za nchini marekani kupitia filamu aliyoiigiza ya "12 Years a slave". Tuzi hizo zimekuwa kama njia kubwa itakayomfungulia milango mingi sana ya mafanikio mwanadada huyo ya kufanya kazi zaidi ya pale alipo na mojawapo ni kama hii ya kulipamba kava foto ya Entertainment Weekly magazine.

Ni Music Group inayopatikana pande za Iringa town ikiwa na wasanii wengi na wenye vipaji vya ukweli. Ngoma kali zinafanywa na Prodyuza Sileey ndani ya studio ya Sampamba Music akiwa na wasanii kama Mwenendox, Gardee Ga Bway, Sprino, Jack media, Sir King Mabawa, Mkwawa, Prodyuza Silley a.k.a Moraaani the Genious, na wengine wengi ndani ya label ya Sampamba Music.
Pia kuna wasanii wa Gospel kama unavyojua lazima kushusha upako ili mambo yaende sawa kwani kila sehemu Mungu yupo. Kwa hapo tunawasanii wa Gospel pia, yupo Mwasile na Rehema ambao pia washafanya kazi zao  nyingi ndani ya Sampamba Music.
Kaa mkao wa kula kwa ngoma kali kutoka Iringa Town ambazo zinapikwa na pia waweza kuzipata ngoma hizo kwenye blogs mbalimbali na kwenye music sites mbalimbali.
Sampamba Music


Baada ya kuwasili

Nikiongea na media kabla ya show kuanza
















Backstage baada ya show na Romy Jons
Credit: WCB Blog



CALL US TO NOW!
+255 764987588
+255 655 987588





Credit: Bongo ClanTZ


Wizkid to drop new music


Msanii machachari nyota kutoka Nigeria anayewahi kutamba na ngoma kama Holla at ur boy, Pukurumo, Tease me na nyingine kali alizofanya na wasanii mbalimbali kote duniani kama Shuga, Girl n.k ametamka kwamba hivi karibuni wiki hii siku ya wapendanao ataachia ngoma kali inayokwenda kwa jina la ONE QUESTION aliyemshirikisha mpiga Saxophone maarufu Adeyemi Adeosun.
Get ready kwa ujio huo kwani ni ngoma ambayo hata ye mwenyewe anaikubali iwe special kwako kwa ajili ya VALENTINE DAY

http://old.hulkshare.com/dl/1yni7bhknbyo/Izzo_B_-_Tumogele_By_DJMwanga.com.mp3?d=1


Nicki Minaj is serving fierce and natural realness in her newly released Instagram photos. Earlier today, Her Minajesty ditched her signature wig to debut her new look to her millions of appreciative fans. “No perm. No extensions,” she captioned.
Included in the photos, are a couple shots of the final styled look. The slayage is UNREAL! Stunning.
Peep the photos below.
   
   
What do you think of Nicki’s new look? Post your thoughts.