Mkali wa muziki wa bongofleva Baby Madaha ambaye kwa sasa anafanya mziki chini ya record lebel ya Candy And Candy ya nchini Kenya  huku akiwa na heat song ya Summer holiday aachia video nyingine mpya ya Squeeze me tight.
Ni kazi nzuri sana, icheki hapo chini
Hiki ni kionjo cha video mpya kutoka kwa mwanamuziki Walter Chilambo inyokwenda kwa jina la Mi Ni Wako.



Ni video mpya kabisa kutoka kwa msanii Dully Sykes inayoitwa Kabinti Special. Ambapo audio yake aliiachia siku chache zilizopita.

Ni video ambayo imekuwa ikingojwa na wengi, basi kichupa ndo hicho, kazi kwako my fan.