Ama kweli haya ni majanga! tena si kidogo, jionee mwenyewe

Huu ni ujio mwingine wa Lady Jay Dee from Team Anaconda


Hii ndiyo video ya mwisho ya marehemu Langa aliyoiachia hivi karibuni kabla ya kukutwa na mauti.
R.I.P Langa Kileo, tutakukumbuka daima na Mungu akulaze mahala pema peponi. AMEN

Je waujua utamu wa muziki wa kitanzania, basi huyu ndiye jamaa anayeleta utamu wa muziki huu wa RNB Bongo. Jamaa ana nyimbo nyingi sana kali kama maneno, samboira, nikikupata, anaishi naye, pete n.k ambazo zimemtambulisha kwenye gemu ya bongofleva na kumpa TUZO kibao. Icheki video yake ya jikubali mwenyewe uikubali.
Pale mtu anapofanya vizuri hatuna budi kumpa hongera kwa kile alichokifanya, nami vile vile sina budi kumpa hongera mwanadada ambaye kila siku tumezoea kumuona katika tasnia ya filamu na sasa kaamua kuingia kunako muziki. Kwa upande wangu ngoma ni kali sana kwa mashairi, mdundo hadi sauti. Isikilize na kujionea mwenyewe upate ladha yake













R.I.P. COWWIZY
msiba_wa_mangweah_05062013_04
msiba_wa_mangweah_05062013_03
msiba_wa_mangweah_05062013_02
msiba_wa_mangweah_05062013_01
msiba_wa_mangweah_05062013_10
msiba_wa_mangweah_05062013_09
msiba_wa_mangweah_05062013_06
IMG_5990
.
Source: Milard Ayo

Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Radhia Msuya, akiweka saini katika kitabu cha maombelezo nyumbani kwa baba mdogo wa Marehemu Mangweha Mbezi Beach jijini Dar leo.

Balozi Msuya akimpa mkono wa pole mama mdogo wa Marehemu Mangweha, Ella Mangweha.

Balozi Msuya akibadilishana mawazo na mama mdogo wa marehemu.

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa baba mdogo wa marehemu.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi Adam Juma (aliyesimama) akisalimiana na balozi Msuya.

Balozi Msuya (katikati) akibadilishana mawazo na baba mdogo wa marehemu David Mangweha (kulia) na mama mdogo Ella (kushoto).

(PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)

Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Radhia Msuya, akiweka saini katika kitabu cha maombelezo nyumbani kwa baba mdogo wa Marehemu Mangweha Mbezi Beach jijini Dar leo.
Balozi Msuya akimpa mkono wa pole mama mdogo wa Marehemu Mangweha, Ella Mangweha.…