Baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kuzungumzia mienendo ya wasanii katika tasnia ya muziki na muvi sasa zengwe laanza kuifikia studio ambayo msanii wa bongofleva ambaye nae alikua katika tuhuma mbalimbali zilizotolewa na BASATA juu yake. 
Inasemekana baada ya kutoa ngoma kadhaa ya kuwaponda watu kwa kuwaambia ukweli ulio na maneno makali kiaina, studio anayorekodia Ney wa mitego inayoitwa Shyne Rcords imeandikiwa barua na Basata ya onyo na kupewa siku tano kuonana na basata huku ikituhumiwa kutengeneza ngoma zenye kutukana watu
Mnager wa studio hiyo amesema kuwa michongo hiyo yote itakua imefanywa na maadui wakubwa wa Ney kwenye ngoma zake ambao ni wasanii wa Bongo Movie wametia ndio wamesababisha yote hayo na kuwatuhumu kwa matunguli " yaani sasa hivi unakuta mauza uza tu mara mixer inazima mara amplifaya bila sababu yoyote ila watashindwa tu kwa jina la Yesu." amesema manager huyo..

Kamanda wa Polisi mkoa wa kipolisi wa Kinondoni Charles Kenyela amethibitisha jeshi lake kumshikilia msanii Lord Eyes ambae toka weekend iliyopita taarifa zake zimesambaa baada ya kushutumiwa kuhusika na wizi wa vifaa mbalimbali kwenye gari la mwimbaji Ommy Dimpoz.

Namkariri Charles Kenyela akisema “ni kweli Isaac Waziri Maputo mwenye umri wa miaka 28 alikamatwa tarehe 20 mwezi wa kumi usiku maeneo ya Kinondoni, kukamatwa kwa mtuhumiwa huyu ni kutokana na taarifa tulizozipata kupitia kwa binti mmoja aitwae Kurushinde Hillary (22) mwenye asili ya kiburushi lakini mkazi wa Mwananyamala kwa Makoma Dar es salaam, alikamatwa siku hiyo hiyo kabla ya Lord Eyes”

“Alikamatwa kuhusiana na matukio ya wizi kwenye magari yani kuna mtindo ambao umeibuka ambapo ukipaki gari yako gari nyingine ya wezi inakuja inapaki jirani na gari yako ambapo kwa muda mfupi wanafanya utundu wao wanaoujua, wanafungua gari na kuiba mali iliyoko ndani, mara baada ya huyu binti kukamatwa katika kuhojiwa mtandao wake anaoshirikiana nao alimtaja mtuhumiwa Isaac Waziri Maputo (Lord Eyes)” – Kamanda Kenyela

Kwenye sentensi nyingine Kamanda Kenyela amesema “watu wengi wamelalamika kuibiwa laptop zao, mabegi, mifuko na hata silaha kwa maana mtu anakua anajiamini anaacha kwenye gari akiamini kwamba ameshalock lakini watu hawa na mtandao wao wamekua ni hatari kiasi kwamba wameliza watu wengi”

“Watuhumiwa hawa wawili Kurushinde na Lord Eyes tunawashikilia kwa tuhuma zipatazo 30, yani matukio mbalimbali 30 pengine yanaweza yakaongezeka ambayo yameripotiwa kutokea katika maeneo mbalimbali kama vile Mlimani City, Kijitonyama, ufukwe wa bahari kama Coco beach, kwenye kumbi mbalimbali za starehe na pia kwenye maeneo ambayo kunakua na harusi, sehemu ambazo kunakua na magari mengi watu hawa ndio huwa wanaitumia hiyo nafasi kufanya uhalifu, tunawashikilia kwa makosa ya wizi”


MSANII mahiri wa muziki wa kizazi kipya anayewakilisha pande za Manzese, Hamad Ally ‘Madee’, kutoka kundi la Tip Top Connection, inadaiwa kuwa amejitoa katika kundi hilo, na sasa anataka kufanya muziki kivyake na sababu za kujitoa kwake bado hazijulikana.

Chanzo chetu cha habari kilichozungumza nasi, kwa sharti la kutotajwa kwa jina lake kilidai kuwa wiki iliyopita msanii huyo alikuwa kwenye mzozo na mmoja wa wasanii wa kundi hilo lakini waliweza kupatana ingawa jamaa bado anaonekana kutopenda kile kilichotokea lakini bado kuna vitu vingine vya ndani zaidi vilivyosabisha hadi jamaa kuamua kujiweka pembeni.

Chanzo hicho kilichopo karibu na wasanii hao hakikusita kueleza kuwa ndani ya kundi hilo kuna matatizo mengi, kwani hata kuondoka kwa baadhi ya wasanii waliokuwa hapo kulisababishwa na matatizo hayo ambayo yamemfanya Rais huyo manzese kujiengua, ingawa bado kuna mvutano mkubwa unaoendelea ili kumrudisha kundini jamaa huyo bila taarifa za mkwaruzano huo kutoka nje.
Happy Bday, Bro! I wish you to receive the same attention as you demanded on the day you was born!

Most of young African people has daily been respecting the western culture and leave their own culture. Can you see this young man, Nana Arjen Marfo Stanley dressing in an African style? Doesn't he look good and smart? Frankly speaking he looks good, congratulation to those who try to knows what is the value of their culture is to other people, and make others know it.
For those with nice cultural dressing photos post it to our facebook page SIKILIZA MDUNDO
                                           
                                                                DOWNLOAD HERE

RIHANNA shows off her boobs in a stunning see-through dress in this sizzling sneak preview of her brand-new music video.
The 24-year-old's nipples poke through a sheer clingy frock that's slashed up to her thighs in snaps taken on the LA set of her Diamonds promo.

The track is the latest single from her seventh album Unapologetic - and the video looks like it will be packed with drama.

Other top secret photos show Rihanna posing in another see-through outfit among a burning car wreck as flames shoot up behind her.
She's also sporting an edgy new hairdo - shaved on one side, long on the other.

It's been an eventful weekend for Rihanna, who found time during the video shoot to sneak off and support ex Chris Brown at a launch party for his website in Beverly Hills on Saturday night.
The pair were inseparable all night and one partygoer even managed to capture a snapshot of them stealing a sneaky smooch.

The couple split back in 2009 when Chris assaulted Rihanna at a pre-Grammy Awards party in LA.
He was convicted, given six months of community service and placed on probation for five years.
But the pair have been getting close again - and she dropped another hint on Twitter this weekend that they're officially an item.
She posted a passage from the Bible, titled "Forgiveness wins".

Rihanna jokes around between scenes

PHOTO: Who wore it better? Mother or daughter?


                                                                      Cute people ;)

Habari ambayo tumeipata kuhusu mwana dada huyu ni kwamba siku ya jana amejifungua salama watoto wawili mapacha wote wakiume.
Hongera K-lyn kwa kupata watoto haona Mola awajalie afya njema

Siku ya jana mtandao mkubwa Duniani kwa jina la MSN uliweza kutangaza majina mawili ya wasanii wa Tanzania kama ndio bora zaidi kwa kuwapa vyeocha King na Queen of Bongo flava.Wasanii hao waliotajwa na kupewa vyeo ni mtu mzima Diamond Platinum wa wasafi na mwanadada Lady J Dee baada ya kupata taarifa hii kutoka katika mtandao mkubwa duniani unaojulikana kwa jina la MSN sasa bhana Diamond akaamua kuandika ujumbe katika site yake baada ya kutajwa katika mtandano huo
"Honestly nmejiskia furaha sana kuandikwa katika mtandao mkubwa kama huu, juu ya kazi yangu ya muziki ninayoifanya na kupewa heshima ya kuwa King of Bongo Flava. Hii inaonesha ni jinsi gani muziki wetu umepiga hatua na unazidi kuvuka boda"
Huu ndiyo ujumbe uliyoandikwa na mtu mzima Platinum baada ya kutaja katika mtandano mkubwa Duniani unaojulikana kwa jina la MSN.
Na huyu ndiye Judith Wambura maarufu kama Ja Dee
Lady Jaydee (© Facebook)
 
Redsan in a Collabo with Brick & Lace
This is probably one of the best news to Redsan’s fans after his long silence. Well, the first all-dancehall musician Redsan is back and is ready to take the industry by storm. Fresh from dropping his latest single, “Lose Control” the soft-spoken artiste says that he wants to do something out of the ordinary.

Speaking to Adele of 1Fm, Redsan revealed that he is currently working with Jamaican RnB reggae fusion musical duo Brick and Lace. The relationship between Redsan and the two sisters date back to 2009 when the duo was rumoured to grace Redsan’s album launch.

The Kenyan ragga maestro also revealed that he is keen on working on a major project since there were not many party songs in the market now. Attributing his silence to working on his album which is set to be released in December, Redsan also “cautioned” other artistes not to release their songs during this period because he would have grabbed all the airplay.

Redsan also hopes to work with Senegalese RnB and hip-hop artiste, Akon.

Rihanna and Nicki Minaj. 
Rihanna and Nicki Minaj have picked up the most nominations for this year’s American Music Awards.
The pair are up for four awards and go up against each other in the favourite female pop/rock artist category.
Justin Bieber and One Direction are in the running for three awards each, while Kelly Clarkson and Katy Perry are among those up for two.
The AMAs (American Music Awards) take place on 18 November in Los Angeles.