Its once again the R & B artist and an artist who has been in the peak for making collaborations with so many artists in Tanzania.
This is his new song after the release of his most radio and TV station hitting song  Maneno.
As normalIt is about love.
Welcome and enjoy the song PETE.

Sauti must be really exhausted after all that they've been doing lately. These guys have done it all. Concerts around the world and back home, video shooting for days, never ending interview with media houses all over the world, you name it, they've done it.
It is with this in mind that we can excuse these great artistes for leaking such a photo on social media. Now, this is the real Sauti Sol, away from all the glitz and glamour. Kinda like how girls look without make-up on, huh?
ZEMBWELA IS A RADIO AND TV PRESENTER AT EATV RADIO AND EATV. CHECK IT TO KNOW MORE ABOUT ZEMBWELA
ANAKWAMBIA KAMA WAO WANAJIITA WANYAMA BASI ATAWAWINDA TENA KWA GOBOLE TU.
THE TRUTH FROM MY HEART, THE MAN KNOWS WHAT MUSIC IS! KEEP IT UP PLATNUMZ DONT CARE WHAT HATERS SAY ABOUT YOU!
Katika michuano ya OLIMPIKI ambayyo inaendelea jijini LONDON UINGEREZA , mkimbiaji wa mbio fupi kutoka JAMAICA Usain Bolt atamba kwa kuendelea kuweka historia nyingine hapo jana kwa kuvunja rekodi yake aliyoiweka miaka minne iliyopita jijini BEIJING CHINA.
BOLT amefanikiwa kushinda medali ya dhahabu katika fainali ya mbio za mita 100 akitumia muda wa sekunde 9 nukta 63 huku medali ya fedha ikienda kwa Mjamaica YOHAN BLAKE na MMAREKANI JUSTIN GATLING akinyakua medali ya shaba
RNB star hapa Tanzania Ben Paul ameongea kuwa anapumzika kufanya collabo kwa miezi tisa kuanzia mwenzi huu wa nane 2012 .Ben aliandika kwenye mtandao wa twitter kupitia @IamBenPol kuwa amesha kuwa yeboyebo wa collabo na kwa sasa anabidi a focus kwenye kazi zake mpya kwa muda kidogo na anahitaji miezi tisa kufanya hivyo na baada ya miezi hii ataweza tena kufanya collabo. Ila Ben alinyunyuka kuwa kuna collabo atashindwa kuzikata kabisa zikija ila atajarubi kuto disappoint watu wanao taka kufanya nae kazi .By The Way Ben Paul ndio aliefanya Chorus ya Sikati tamaa ya Darasa , Everytime ya Steve K Fire , Nipoke ya Chid Benz na chorus nyingi kali hapa Tanzania .
Mimi kama MOBILE PHONES REPRESENTATIVE nimepokea malalamishi yafuatayo kutoka kwa simu yako.... Nitaipresent kama nlivyoipokea....
MIMI KAMA SIMU YAKO:

1. Nataka uniheshimu nikuheshimu, yaani tuheshimiane. Sipendi kila saa ukiniweka katika vibration mode, utaki mie niimbe mbona, tena hasa ukiwa na huyo kibaby chako, kama unajiamini VIBRATION ya nini?!?
2. Usiweke kwa mfuko ya nyuma, kwani ukiachia KIBOMU (ukichafua hali ya hewa) wataka mi ndo nivute HARUFU yako?!? Na mambo ya kunichanganya kwenye wallet yako au mfuko na LESSO yako hiyo usiyowahi ifua toka ununue acha!!! Utaniambukiza MAFUA BUREEEE...
3. Ukiamumka asubuhi please brush mdomo ndio uanze kunitumia... Kwa taarifa yako mdomo unanuka! Huwa sitaki 2 kukuambia!!!
4.Story ya kutoniswitch off ukilala ikome, kwani we hapo hutaki mie nidoze?!? Unafikiri mi ndo mlinzi wako?!? Narudia tena acha, na mimi nnanmajukumu ya kufikiria usiku.....
5. Saa zingine we huenda na mimi chooni..... Hiyo ni heshima kweli?.....(hata wewe jaribu ku-imagine hata haibu huna unanibofya huku wakata GOoGle?!?! Mi ndo wa kula harufu yako?!?)
6. Mwisho sitaki hiyo tabia umeanza ya off late kunipokea.. Sometimes huwa naliiiiiiiiiiiia muda mrefu haunishugulikii.... Nakupa warning, NITAJIZIMA nisiwake tena!!! Simu yenyewe mchina,HAIBU HUNA kuniliza mbele za watu?!?
7. Nataka uniheshimu kama huyo mjinga mwenzako ambaye ukinywa maji wamuona kwenye glass... Tena acha tabia ya kunitemea mate UKIMKISS kupitia mimi, mambo mengine mfanye mkionana, khaaa!!!
8.Na usisahau kuwa huwa unaniumiza xana wakati umenda kutembea ukiomba omba number, heshimu keypads zangu plz!!!!
9. Tena kuanzia leo nalia bettry low mara moja tu, usipo nicharge nafuta manamba yako yote uliyosave mara KICHECHE ONE, MARA VODA FASTA, MARA WA VIZINGA, oooh, sijui KIDUMU 4.... Acha, TUMIA MAJINA YANAYOTAMBULIWA KISERIKALI!!!!
10. Tabia yako ya kunitumia mimi kutongozea madem zako naomba uiache kwanI mimI sio messenger wako cku nyingne nitazimika kati kati ya maongezi.
11. Mwisho kabisa kama ukigombana na mtu mtafute umtukane live ukimuona sio unantegemea mimi kupitisha matusi yako... Na uchague maneno ya kuongea vinginevyo ntaya- DIVERT POLICE DIRECT kuku weeh!!!!
N.B: Tabia ya kunitumia mimi kama ndo CHAMBO wako wa kuwaambia uko OYSTERBAY kwa Ancle wako, kumbe uko TANDALE KWA MTOGOLE kwa bibi yako naomba uache eeeh!!!!