NEW SONG: AMIN FT LINNAH - MTIMA WANGU

By    

Baada ya kuwa mbali kwa muda mrefu kutokana na kile kilichosemekana kwamb awameachana sasa imekuwa ni kama SUPRISE kwa mashabiki wa Linnah na Amin kwa kile kilichotokea usiku wa fainali za EBSS. Wawili hao walifanya siku ya fainali hizo za EBSS kuwa ni zenye msisimko wa hali ya juu kutokana na vile walivyoimba kwa mtindo wa kujibizana kitu ambacho kilileta faraja kwa mashabiki juu ya uhusiano wa wawili hao kuwa umerudi tena kwa spidi ya light. Kwa sasa inasemekana wasanii hao wamerejesha uhusiano wao wa mapenzi na kufikia hatua ya kutoa ngoma ya Mtima wangu.
Ngoma yenyewe ni hii hapa chini