KALA JEREMIAH NA UJIO WA REMIX YA NGOMA YAKE YA "DEAR GOD", NGOM AMBAYO INABAMBA KWA SANA KWA KITAA

By    






Rapper Kala Jeremiah amesema amegundua kuwa Wimbo wake wa Dear God unapendwa kuliko alivyo tegemea na ameamua kufanya Remix ya wimbo Huo. Kala amenukuliwa remix hii hata fanya na wasanii wengine ila atafanya na mashabiki wenye mistari mikali inayoweza kutumika kwenye sala hio ya Dear God. Kupitia ukurasa wake wa facebook atatoa number ya simu itakayo mrushusu mshabiki wake apige simu na kutoa mistari yake ,Mistari hio itarikodiwa na kuskilizwa na baada ya muda Kala na Produce wa wimbo huo ndoi watafanya mchujo wakujua shabiki yupi atakuwa kwenye remix hio