EXCLUSIVE! KUTOKA KWA CPWAA-INAWAHUSU WASANII WA TANZANIA

By    
Ok nimeambiwa natumia sana kiingereza!! Haya narudia...Oya! wana.... Mapromota,Wasanii,Studio na wakurugenzi wa fani ya muziki.Naombeni munipatie kazi zenu kwa ajili ya promosheni.Jumamosi Mungu akipenda naenda kwa Madiba kwenye Tuzo za Channel O,nakutana na watu wengi, MadJ wa kila Nchi,Mameneja,wasanii,Maproducer na Maredio na TV mbalimbali ni muda muafaka wa kusambaza kazi zetu.Nipeni kazi zenu kwenye CD au DVD zenye viwango zilizoprintiwa na msisahau anuani zenu.jitahidi Ijumaa muwe mmenipa! Nicheki moja kwa moja 068510030.Pamoja! ( Je Nimesomeka Hapo?) Good..twendeni kazi!

Pia usikose kutafuta kazi mpya mbili(Double release) za CPWAA ziko mtaani zishaanza kubamba kwa radio station kila kona ya mtaa.
Sikiliza na kuzidownload hapa chini